Barrick wameita?

Barrick wameita?

spirrowiver

Member
Joined
Aug 2, 2014
Posts
13
Reaction score
0
Wakuu barrick walitangaza post mbalimbali deadline ilikuwa tarehe 18 mwezi wa 7. Kwa yeyote mwenye taarifa na post zile atujuze kama wameita au bado
 
wakuu barrick walitangaza post mbalimbali deadline ilikuwa tarehe 18 mwezi wa 7.kwa yeyote mwenye taarifa na post zile atujuze kama wameita au bado

pengine huwa kuna watu wanaitwa na barrick mi toka nianze kuomba sijawahi kupata hta kuitwa tu kwenye usaili
 
wakuu barrick walitangaza post mbalimbali deadline ilikuwa tarehe 18 mwezi wa 7.kwa yeyote mwenye taarifa na post zile atujuze kama wameita au bado

Zikipita siku 30 baada ya deadline kimya,ujue umechinjwa.
 
wakuu barrick
walitangaza post mbalimbali deadline ilikuwa tarehe 18 mwezi wa 7.kwa
yeyote mwenye taarifa na post zile atujuze kama wameita au bado
Walitangaza post gani?
 
30 days zikipita andika maumivu hawana longolongo wale
 
wakuu barrick walitangaza post mbalimbali deadline ilikuwa tarehe 18 mwezi wa 7.kwa yeyote mwenye taarifa na post zile atujuze kama wameita au bado

Jamaa angu aliomba nafasi ya IT akaitwa akafanyiwa interview last week, alinambia alianza Oral then akapiga na Written-10Min Test same day. Akaambiwa akiona hajaitwa 2 weeks after aendelee kusugua gaga!!
 
Back
Top Bottom