BARRICK kujenga kiwanda cha kuchengua mchanga mkoani Iringa

Kuna MTU anaipigia debe Iringa nn! Mkoa hakuna mgodi Wa dhahabu au Yale malori yatakuwa yanatoka Kahama hadi Iringa!haya miaka ya nyuma Alma's inachimbwa shinyanga unaenda kukatwa iringa(tancut)kulikoni?
Kingesemekana kinajengwa Kilimanjaro server Ya jamii forums ingekuwa ukurasa wa elfu moja na pongezi kwa mbowe, lema na wabunge wa Kilimanjaro Na watoka Kilimanjaro popote walipo duniani Kupongeza hatua Hiro. Chadema wako tayari kutetea accacia wasafirishe mchanga kusafishwa ulaya kuliko kusafishwa mkoa usio kuwa wa Kilimanjaro ndani ya Tanzania. shenzi type
 
Vijana wa CCM ndio wanapenda kusikia habari kama hizi.ole wako sasa useme ni uongo watakushambulia nusu wa kuue.
 
Habari.zilizotufikia hivi punde kampuni ya barrick imeamua kujenga kiwanda cha kuchengua.mchanga katika mkoa wa iringa baada ya kutuma watafiti katika eneo hilo kwanza ;- Hali ya hewa ya.baridi
Itawasaidia mitambo kutochoka haraka.
Pili:- Miundo mbinu ya Barbara kuunganisha na nchi za Kongo Zambia south Africa msumbiji
Tatu:- uadilifu wa nguvu kazi
Nne:- Gharama za chakula kuwa za kawaida.
Tano;- Upatikanaji nishati mbadala
Sio tena gharama za ujenzi ni kubwa na hatuna umeme wa kuendeshea?
 
Kingesemekana kinajengwa Kilimanjaro server Ya jamii forums ingekuwa ukurasa wa elfu moja na pongezi kwa mbowe, lema na wabunge wa Kilimanjaro Na watoka Kilimanjaro popote walipo duniani Kupongeza hatua Hiro. Chadema wako tayari kutetea accacia wasafirishe mchanga kusafishwa ulaya kuliko kusafishwa mkoa usio kuwa wa Kilimanjaro ndani ya Tanzania. shenzi type
Sisi tunakumbusha tu kuwa kwenye makubaliano yenu hii smelter ijengwe kama mlivyo ahidi. Yale makinikia Bandarini kama bado yaanze yafari kwenda Iringa kuchenjuliwa.
 
Uadilifu na nguvu kazi zipi wewe KIBAKULI ,mbona hueleweki kama fisi kakurupushwa kichakani?
Futa kauli yako ya kusema kibakuli utadhani ni fisi aliyekurupushwa porini
(1) Fisi gani Siku hizi anakaa porini wakati unajuwa kuwa majengo ya lumumba Ccm walivyoyatelekeza fisi tukahamia hapo
 
Back
Top Bottom