Barrick Gold mining license renewed for 15 years

EMT

EMT

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2010
Messages
14,487
Likes
1,014
Points
280
EMT

EMT

JF-Expert Member
Joined Jan 13, 2010
14,487 1,014 280
African Barrick Gold reported on Monday that it had received the renewals of its special mining licences (SMLs) at its North Mara project, in Tanzania. The renewals of the licences were on the same terms and conditions as the previous licences and were both for a period of 15 years.

The original North Mara SMLs were issued in February 2000 and had expired in September 2011, since which time the mine had continued to operate on the same basis owing to the rollover provisions contained in the Tanzanian Mining Act.

Since the issue of the original SML 12 years ago, the mine had produced over 2-million ounces of gold and had a further 3.5-million ounces of gold remaining in reserves.

The company's SML 17/96 has been enlarged twice and now covers an area of 31.3 km2, including both the Gokona and Nyabigena pits. Its other licence, SML 18/96, had been enlarged six times and now covers an area of 10.5 km2, including the Nyabirama pit.

"We have worked closely with the government over the past 18 months in order to achieve the first renewal of a special mining licence in Tanzania under the Mining Act 2010, and this highlights their focus on ensuring there is a positive investment climate for Tanzania," commented African Barrick CEO Greg Hawkins.

Tanzania renews African Barrick special mining licences
 
Bilionea Asigwa

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Messages
16,009
Likes
22,634
Points
280
Bilionea Asigwa

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Joined Sep 21, 2011
16,009 22,634 280
Hawa jamaa wametunyonya sana japo serikali inawakumbatia mno
 
jmushi1

jmushi1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2007
Messages
19,120
Likes
4,990
Points
280
jmushi1

jmushi1

JF-Expert Member
Joined Nov 2, 2007
19,120 4,990 280
The renewals of the licences were on the same terms and conditions as the previous licences and were both for a period of 15 years.
There we go again,change we can believe in!Sasa Kinana anapozungunguka huko na huko mikoani inabidi waulizwe.Kelele zilizokuwa zikipigwa kumbe kweli ni za mlango na aliyeko magogoni hakosi usingizi.

Sasa ni kweli nakubaliana na ndugu Zitto kuwa mikataba iwe wazi,lakini is this the real solution?Kama matokeo ya mikataba ni wazi haitunufaishi,na bado mikataba hiyo ni ile ile kwa maana kwamba inarudiwa over and over again,si ina maana viongozi wetu wameridhishwa nayo?Sasa ikiwekwa wazi tutazuia vipi?Na wakati maandamano yenyewe yanadhibitiwa kwa nguvu za kupita kiasi na hata mauwaji yanatokea?

Ujumbe wangu kwa ndugu Zitto,since wananchi wana waamini viongozi wa upinzani wanaposema kuhusu mikataba mibovu,halafu wanawaelewesha wananchi ie kwenye m4c,ni kivipi hili tatizo litakwisha?

Wananchi wanaelewa mikataba ni mibovu kabla hata ya kuisoma,maana matokeo yake ni mabovu tu, ama hata hayaonekani,sasa whats the solution?

Mimi naamini solution ni movement ya nguvu ya kubadilisha watawala.Kwasababu inaonyesha wanaonufaika ni wao na si wananchi ama Taifa.Ubinafsi ni shida kubwa sana ya watanzania!

Je ccm wakiulizwa kuwa mikataba hii inatunufaisha watasema ni kivipi?Madhali imekuwa renewed,nadhani hili ni swali wanalotakiwa kulijibu ili wananchi wajuwe wazi kuwa mikataba iliyoko ccm wanairidhia.Na kama ina manufaa,tuelezwe manufaa hayo,yawekwe wazi ili tuyajuwe!
 
G

Gad ONEYA

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2010
Messages
2,641
Likes
8
Points
135
G

Gad ONEYA

JF-Expert Member
Joined Oct 26, 2010
2,641 8 135
African Barrick Gold reported on Monday that it had received the renewals of its special mining licences (SMLs) at its North Mara project, in Tanzania. The renewals of the licences were on the same terms and conditions as the previous licences and were both for a period of 15 years.

The original North Mara SMLs were issued in February 2000 and had expired in September 2011, since which time the mine had continued to operate on the same basis owing to the rollover provisions contained in the Tanzanian Mining Act.

Since the issue of the original SML 12 years ago, the mine had produced over 2-million ounces of gold and had a further 3.5-million ounces of gold remaining in reserves.

The company’s SML 17/96 has been enlarged twice and now covers an area of 31.3 km2, including both the Gokona and Nyabigena pits. Its other licence, SML 18/96, had been enlarged six times and now covers an area of 10.5 km2, including the Nyabirama pit.

“We have worked closely with the government over the past 18 months in order to achieve the first renewal of a special mining licence in Tanzania under the Mining Act 2010, and this highlights their focus on ensuring there is a positive investment climate for Tanzania," commented African Barrick CEO Greg Hawkins.

Tanzania renews African Barrick special mining licences
Ina maana zoezi hili limefanyika kimya kimya bila ya waandishi wa habari kukaribishwa? Mbona hatujaliona kwenye tanzania media houses!
 
EMT

EMT

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2010
Messages
14,487
Likes
1,014
Points
280
EMT

EMT

JF-Expert Member
Joined Jan 13, 2010
14,487 1,014 280
Ina maana zoezi hili limefanyika kimya kimya bila ya waandishi wa habari kukaribishwa? Mbona hatujaliona kwenye tanzania media houses!
Umesahau habari nyeti kuhusu Tanzania huwa hazitolewi na local media?

Unakumbuka ile habari ya mkataba wa kutengeza vitambulisho zilipatikana wapi kwa mara ya kwanza?
 
jmushi1

jmushi1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2007
Messages
19,120
Likes
4,990
Points
280
jmushi1

jmushi1

JF-Expert Member
Joined Nov 2, 2007
19,120 4,990 280
Umesahau habari nyeti kuhusu Tanzania huwa hazitolewi na local media?

Unakumbuka ile habari ya mkataba wa kutengeza vitambulisho zilipatikana wapi kwa mara ya kwanza?
Mkuu ni kweli usemacho,na ninakuhakikishia,kama si kwasababu ya shareholders(wanabandika habari hizi ili kulinda mahusiano na shareholders) na ndiyo maana hizi habari zinapatikana,otherwise tusingekaa tujuwe.

Moja ni kwasababu ya shareholders,na pili ni kwasababu watanzania sasa wana access ya habari za mitandaoni.Ambazo kiukweli sisi si walengwa,lakini imetokea kuwa tunapata access kwasababu information iko aimed to share holders.

Otherwise tusingejuwa chochote kwasababu access to information kwa Tanzania ni almost zero,na hii ni kwa mujibu wa globalintergrity.org!
 
Nguruvi3

Nguruvi3

Platinum Member
Joined
Jun 21, 2010
Messages
12,837
Likes
8,652
Points
280
Nguruvi3

Nguruvi3

Platinum Member
Joined Jun 21, 2010
12,837 8,652 280
Umesahau habari nyeti kuhusu Tanzania huwa hazitolewi na local media?
Unakumbuka ile habari ya mkataba wa kutengeza vitambulisho zilipatikana wapi kwa mara ya kwanza?
Na ni ''dhambi'' mwananchi kujua nini kinatendwa na wenye nchi. Si unaona jinsi fedha za Uswiss zinavyowekewa uzio! Uki trace to the bottom unaweza kuta ni sehemu ya ongezo la mkataba. Something must be done for sure! Hawa wanawafanya wananchi mahayani! Something must be done.
 
EMT

EMT

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2010
Messages
14,487
Likes
1,014
Points
280
EMT

EMT

JF-Expert Member
Joined Jan 13, 2010
14,487 1,014 280
Mkuu ni kweli usemacho,na ninakuhakikishia,kama si kwasababu ya shareholders(wanabandika habari hizi ili kulinda mahusiano na shareholders) na ndiyo maana hizi habari zinapatikana,otherwise tusingekaa tujuwe.

Moja ni kwasababu ya shareholders,na pili ni kwasababu watanzania sasa wana access ya habari za mitandaoni.Ambazo kiukweli sisi si walengwa,lakini imetokea kuwa tunapata access kwasababu information iko aimed to share holders.

Otherwise tusingejuwa chochote kwasababu access to information kwa Tanzania ni almost zero,na hii ni kwa mujibu wa globalintergrity.org!
True, the news were released to increase the value of Barrick securities. Bear in mind hawa Barrick wako katika mpango wa kuwauzia Wachina its 73.9% stake in African Barrick Gold ambayo inamiliki Mara North So, if they agree on the transfer the mine will soon be under China National Gold Group.

So wamepewa leseni ya miaka 15 halafu in the next few days utasikia wanaupiga bei mgodi kwa Wachina. Probably walikuwa wanasubiri ku-renew leseni ili wapige transfer. Let's wait.

Deadly Clashes at Tanzania Gold Mine - WSJ.com
 
BAK

BAK

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2007
Messages
80,627
Likes
117,806
Points
280
BAK

BAK

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2007
80,627 117,806 280
Si hawa ndio walitingisha kibiriti miezi michache iliyopita kwamba wanauza migodi yao kwa sababu ya gharama za umeme zimekuwa kubwa mno!!! na hivyo kupunguza faida yao? Sasa gharama za umeme zimepungua lini!? Mafisadi wakubwa hawa!!!

Barrick Gold in talks with China National Gold Group over African stake | Mining | News | Financial Post

Buzwagi, the company's biggest mine, in terms of capacity, has struggled with production shortfalls associated with blackouts in recent years.
African Barrick experimented with using standby diesel fuel at the mine during the day and grid power at night, but power outages still stymied production, Mr. Kalachev said. Eventually, it switched exclusively to more-costly diesel.
"Up until now they haven't been able to bring it to the design capacity … this means that costs are increasing and pushing the group's cash costs higher," he said, adding that African Barrick's costs are forecasted to remain above its London Stock Exchange gold peers.
 
Yule Muhongo alishasema kuwa migao(blackouts),inasababishwa na watu wenye kutaka maslahi yao binafsi,akiwa na maana kwamba tuna umeme toshelezi!

Sasa Barricks na wengineo wanadai kuwa kuna gharama kubwa kwenye umeme,lakini ukiangalia,wana maanisha kwamba ni gharama za diesel zinazotokana na electricity blackouts!Sasa hapo utaona jinsi ubinafsi wetu unavyotutafuna,yani ni sawa na self destruction!Halafu kama ni kweli mgao ni wa makusudi,na miktaba yenyewe ni mibovu,ndipo utatujuwa watanzania,tuko hovyo sana!Yani kama umeme ungepatikana kwa urahisi,ina maana kwamba wawekezaji wasingepata shida.At the same time,tunaingia mikataba ya kifisadi ili wawekezaji waweze kupata faida kwasababu umeme ni ghali(ughali ulioisababishwa kwa makusudi kama alivyosema Muhongo)

Sasa niambie utakuwa vipi na hamu ya kuishi Tanzania kwa manufaa ya Tanzania?Yani it's disgusting!Mimi binfasi Tanzania inanishinda,na kama nataka kuishi,basi itabidi waniuwe,so wengine inabidi tupime kwanza,maana watanzania wenyewe ndivyo tulivyo,hata kuna wanaojitolea kuyalinda maslahi yao lakini bado hawayathamini na hawajui.

Sisi ni hovyo sana!
 
J

Jasusi

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2006
Messages
11,505
Likes
235
Points
160
J

Jasusi

JF-Expert Member
Joined May 5, 2006
11,505 235 160
There we go again,change we can believe in!Sasa Kinana anapozungunguka huko na huko mikoani inabidi waulizwe.Kelele zilizokuwa zikipigwa kumbe kweli ni za mlango na aliyeko magogoni hakosi usingizi.

Sasa ni kweli nakubaliana na ndugu Zitto kuwa mikataba iwe wazi,lakini is this the real solution?Kama matokeo ya mikataba ni wazi haitunufaishi,na bado mikataba hiyo ni ile ile kwa maana kwamba inarudiwa over and over again,si ina maana viongozi wetu wameridhishwa nayo?Sasa ikiwekwa wazi tutazuia vipi?Na wakati maandamano yenyewe yanadhibitiwa kwa nguvu za kupita kiasi na hata mauwaji yanatokea?

Ujumbe wangu kwa ndugu Zitto,since wananchi wana waamini viongozi wa upinzani wanaposema kuhusu mikataba mibovu,halafu wanawaelewesha wananchi ie kwenye m4c,ni kivipi hili tatizo litakwisha?

Wananchi wanaelewa mikataba ni mibovu kabla hata ya kuisoma,maana matokeo yake ni mabovu tu, ama hata hayaonekani,sasa whats the solution?

Mimi naamini solution ni movement ya nguvu ya kubadilisha watawala.Kwasababu inaonyesha wanaonufaika ni wao na si wananchi ama Taifa.Ubinafsi ni shida kubwa sana ya watanzania!

Je ccm wakiulizwa kuwa mikataba hii inatunufaisha watasema ni kivipi?Madhali imekuwa renewed,nadhani hili ni swali wanalotakiwa kulijibu ili wananchi wajuwe wazi kuwa mikataba iliyoko ccm wanairidhia.Na kama ina manufaa,tuelezwe manufaa hayo,yawekwe wazi ili tuyajuwe!
Hawa ni marafiki wakubwa wa Jakaya Kikwete. Usishangae siku mikataba itakapowekwa wazi kukuta kwamba Kikwete ni/alikuwa major shareholder wa Barrick.
 
Kobello

Kobello

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2011
Messages
6,359
Likes
1,402
Points
280
Kobello

Kobello

JF-Expert Member
Joined Feb 20, 2011
6,359 1,402 280
Yule Muhongo alishasema kuwa migao(blackouts),inasababishwa na watu wenye kutaka maslahi yao binafsi,akiwa na maana kwamba tuna umeme toshelezi!

Sasa Barricks na wengineo wanadai kuwa kuna gharama kubwa kwenye umeme,lakini ukiangalia,wana maanisha kwamba ni gharama za diesel zinazotokana na electricity blackouts!Sasa hapo utaona jinsi ubinafsi wetu unavyotutafuna,yani ni sawa na self destruction!Halafu kama ni kweli mgao ni wa makusudi,na miktaba yenyewe ni mibovu,ndipo utatujuwa watanzania,tuko hovyo sana!Yani kama umeme ungepatikana kwa urahisi,ina maana kwamba wawekezaji wasingepata shida.At the same time,tunaingia mikataba ya kifisadi ili wawekezaji waweze kupata faida kwasababu umeme ni ghali(ughali ulioisababishwa kwa makusudi kama alivyosema Muhongo)

Sasa niambie utakuwa vipi na hamu ya kuishi Tanzania kwa manufaa ya Tanzania?Yani it's disgusting!Mimi binfasi Tanzania inanishinda,na kama nataka kuishi,basi itabidi waniuwe,so wengine inabidi tupime kwanza,maana watanzania wenyewe ndivyo tulivyo,hata kuna wanaojitolea kuyalinda maslahi yao lakini bado hawayathamini na hawajui.

Sisi ni hovyo sana!
Kusema Tanzania kuna umeme wa kutosha, ni sawa na kusema nyumbani kwako kuna umeme wa kutosha ilhali unatumia jenereta.
umeme wa kutumia mafuta ni umeme wa ghali mno na haumaanishwi kutumiwa kwa large scale for a long time.
hawa mawaziri wanatudanganya.
 
jmushi1

jmushi1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2007
Messages
19,120
Likes
4,990
Points
280
jmushi1

jmushi1

JF-Expert Member
Joined Nov 2, 2007
19,120 4,990 280
Kusema Tanzania kuna umeme wa kutosha, ni sawa na kusema nyumbani kwako kuna umeme wa kutosha ilhali unatumia jenereta.
umeme wa kutumia mafuta ni umeme wa ghali mno na haumaanishwi kutumiwa kwa large scale for a long time.
hawa mawaziri wanatudanganya.
Hivi majuzi Muhongo alisema umeme wa mgawo ni wa kupanga,akiwa na maana tuna umeme toshelezi!Na kwamba mgawo ni mahususi kwa watu flani wenye kunufaika kwa kuwauzia TANESCO mafuta...Sasa kama Barrick nao wanasema ni gharama kubwa kuendesha shughuli kwasababu umeme ni wa mgawo(blackouts),na hivyo inabidi watumie diesel(costs more),jambo ambalo linasababisha waseme ni ghali sana kuendesha shghuli zao,unadhani nani anaathirika zaidi ya Taifa kama kweli Muhongo yuko right?

Kwanza tukikubaliana nao tu kwamba umeme ni shida,ujuwe kuwa kwenye kunegotiate nao terms za mikataba sisi tayari tuko kwenye disadvantage,achilia mbali tamaa za ten percent!
 
BAK

BAK

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2007
Messages
80,627
Likes
117,806
Points
280
BAK

BAK

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2007
80,627 117,806 280
Mkuu jmushi1 huyo Muhongo nilimuona anaweza kuwa mkombozi wa Watanzania kuhusiana na mikataba ya madini ambayo haina maslahi pale alipotangaza kwamba makampuni yote ya uchimbaji wa madini nchini yaanze mara moja kulipa kodi ya 30% au wafungashe virago lakini naona kauli yake ilikuwa ni usanii tu. Haijulikani ni lini makampuni hayo yataanza kulipa kodi hiyo au kodi hiyo ndio imeshakufa kinyemela. Kwa maoni yangu mpaka sasa sioni tofauti yoyote kati ya Ngeleja na Muhongo.

Tanzania tells mining companies to pay 30 pct corporate tax | Reuters

Yule Muhongo alishasema kuwa migao(blackouts),inasababishwa na watu wenye kutaka maslahi yao binafsi,akiwa na maana kwamba tuna umeme toshelezi!

Sasa Barricks na wengineo wanadai kuwa kuna gharama kubwa kwenye umeme,lakini ukiangalia,wana maanisha kwamba ni gharama za diesel zinazotokana na electricity blackouts!Sasa hapo utaona jinsi ubinafsi wetu unavyotutafuna,yani ni sawa na self destruction!Halafu kama ni kweli mgao ni wa makusudi,na miktaba yenyewe ni mibovu,ndipo utatujuwa watanzania,tuko hovyo sana!Yani kama umeme ungepatikana kwa urahisi,ina maana kwamba wawekezaji wasingepata shida.At the same time,tunaingia mikataba ya kifisadi ili wawekezaji waweze kupata faida kwasababu umeme ni ghali(ughali ulioisababishwa kwa makusudi kama alivyosema Muhongo)

Sasa niambie utakuwa vipi na hamu ya kuishi Tanzania kwa manufaa ya Tanzania?Yani it's disgusting!Mimi binfasi Tanzania inanishinda,na kama nataka kuishi,basi itabidi waniuwe,so wengine inabidi tupime kwanza,maana watanzania wenyewe ndivyo tulivyo,hata kuna wanaojitolea kuyalinda maslahi yao lakini bado hawayathamini na hawajui.

Sisi ni hovyo sana!
 
Last edited by a moderator:
jmushi1

jmushi1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2007
Messages
19,120
Likes
4,990
Points
280
jmushi1

jmushi1

JF-Expert Member
Joined Nov 2, 2007
19,120 4,990 280
Mkuu jmushi1 huyo Muhongo nilimuona anaweza kuwa mkombozi wa Watanzania kuhusiana na mikataba ya madini ambayo haina maslahi pale alipotangaza kwamba makampuni yote ya uchimbaji wa madini nchini yaanze mara moja kulipa kodi ya 30% au wafungashe virago lakini naona kauli yake ilikuwa ni usanii tu. Haijulikani ni lini makampuni hayo yataanza kulipa kodi hiyo au kodi hiyo ndio imeshakufa kinyemela. Kwa maoni yangu mpaka sasa sioni tofauti yoyote kati ya Ngeleja na Muhongo.

Tanzania tells mining companies to pay 30 pct corporate tax | Reuters
Kuhusu utata wa Muhongo kwenye makampuni hayo kulipa 30%,hapo kwasasa sina comment.

Lakini kama alimaanisha kuwa watalipa hiyo 30% kwasababu wana uwezo wa kupunguza gharama endapo blackouts hazitakuwepo,then nitauliza ukweli wa kauli yake kuhusu "kutengenezwa" kwa migao,kwasababu hapo ndipo patakuwa na mzizi wa fitna.

Kumbuka tatizo lipo kwasababu ya umeme,ikiwa na maana inawagharimu zaidi kama wakitumia diesel.Mkuu mwekezaji yeyote anayekwenda popote pale duniani.Mambo ya msingi yanayoangaliwa,ya muhimu sana other than political stability,ni umeme!Hilo liko juu kabisa.Kwahiyo kama ni kweli tunajitengenezea matatizo ya umeme,basi ni sawa tukisema kwamba tunajichimbia kaburi letu sisi wenyewe.
 
BAK

BAK

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2007
Messages
80,627
Likes
117,806
Points
280
BAK

BAK

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2007
80,627 117,806 280
Mkuu huyu jamaa naye ni msanii tu. Sasa kama ana uhakika na kauli yake kwamba migao ya umeme ni ya kutengenezwa na yeye ndio Kingunge Mkuu pale Nishati na Madini kipi kinachomshinda kusimamisha hii migao ya umeme ya kutengenezwa ambayo inaigharimu nchi mabilioni ya pesa kila siku iendayo kwa Mungu!?

Kuhusu utata wa Muhongo kwenye makampuni hayo kulipa 30%,hapo kwasasa sina comment.

Lakini kama alimaanisha kuwa watalipa hiyo 30% kwasababu wana uwezo wa kupunguza gharama endapo blackouts hazitakuwepo,then nitauliza ukweli wa kauli yake kuhusu "kutengenezwa" kwa migao,kwasababu hapo ndipo patakuwa na mzizi wa fitna.

Kumbuka tatizo lipo kwasababu ya umeme,ikiwa na maana inawagharimu zaidi kama wakitumia diesel.Mkuu mwekezaji yeyote anayekwenda popote pale duniani.Mambo ya msingi yanayoangaliwa,ya muhimu sana other than political stability,ni umeme!Hilo liko juu kabisa.Kwahiyo kama ni kweli tunajitengenezea matatizo ya umeme,basi ni sawa tukisema kwamba tunajichimbia kaburi letu sisi wenyewe.
 
Father of All

Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Messages
3,090
Likes
22
Points
135
Father of All

Father of All

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2012
3,090 22 135
Tusilaumu Barrick bali watawala wetu wanaohongwa na kutumika kama nyenzo za kusimika unyonyaji. Nadhani Barrick wanalipa pesa nyingi kwa watu binafsi wenye madaraka ambao wamegeuka serikali. Hivyo suluhu si kulaumu Barrick bali kuwapa hard time Barrick na watawala ili kieleweke. Vinginevyo tutaendelea kunyonya na kulalamika tu. Tusiwe kama chura kwenye kisima. Watu maji wajichotea yeye ashikilia yangu yangu na kutoa mimacho.
 
Bu'yaka

Bu'yaka

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2010
Messages
999
Likes
687
Points
180
Bu'yaka

Bu'yaka

JF-Expert Member
Joined Jul 29, 2010
999 687 180
Sasa ni kweli nakubaliana na ndugu Zitto kuwa mikataba iwe wazi,lakini is this the real solution?......

Sasa ikiwekwa wazi tutazuia vipi?
Yale yale!

Unakubaliana na Zitto mikataba iwekwe wazi halafu unauliza "is this the real solution?"..."ikiwekwa wazi tutazuia vipi....?" Wewe ndio unakubaliana nae halafu huelewi kwa nini unakubaliana nae! Doesn't make any sense...
 
Somoche

Somoche

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2010
Messages
4,089
Likes
1,182
Points
280
Somoche

Somoche

JF-Expert Member
Joined Oct 6, 2010
4,089 1,182 280
Hawa watu ni wabaya sana sana, kwa miaka hiyo waliyokaa pale Nyamongo sana wameua tu watu,na kuchafua mazingira kwa kiwango cha kutisha, ile naturality ya eneo lile imeharibika kabisa, kingne ni ubinafsi wa ajabu, utaona hata barabara wametengeneza zao binafsi wakipita zinammwagiwa maji basi ila hata kutengeneza lami mshenzi lao na watu wa pale waone faida ya Mgodi ule hakuna!! kwa sasa wananunua kwa kasi maeneo ya Watz na Serikali haiwatahadharishi watu wake kwamba mnapouza ardhi mtaishi na kulima wapi?!!!

Mwisho wa siku karibu eneo lote wamechukua na limejaaa vifusi vya mawe...ni shida shida shida
 
Forum statistics

Threads 1,238,772
Members 476,122
Posts 29,330,202