Papupi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2014
- 2,028
- 3,258
nimenyanyasa wapi jamani?
We huoni masimamngo hayo unayoyatoa?
nimenyanyasa wapi jamani?
mimi nimesema ukweli wangu kabisa,mwnaume wa Dar analalia chips kavu za buku jero anasema weka na mayonnaise ya kutosha aaaa huyo mimi huyo haniwezi,eti panadol anakunywa kidonge anakata mara 3 wanaume wa Dar jamaniWe huoni masimamngo hayo unayoyatoa?
mimi hizo asikirimu ndo zinazonipa jeuri mjini ila sahivi nakufa na njaaMbona ujaweka Kilimanjaro?
Hivi naweza pata booking ya dreamliner kesho asubuhi au ishajaa. Maana sisi wasukuma kwetu Maswa. Huwa hatupendi zalau.baridi paka wangu,wanaume wa Dar wanaogopa ngiri napowapenda wanaume wa Mwanza mnielewe tu
mimi nimesema ukweli wangu kabisa,mwnaume wa Dar analalia chips kavu za buku jero anasema weka na mayonnaise ya kutosha aaaa huyo mimi huyo haniwezi,eti panadol anakunywa kidonge anakata mara 3 wanaume wa Dar jamani
mimi nimesema ukweli wangu kabisa,mwnaume wa Dar analalia chips kavu za buku jero anasema weka na mayonnaise ya kutosha aaaa huyo mimi huyo haniwezi,eti panadol anakunywa kidonge anakata mara 3 wanaume wa Dar jamani
aaaaaaa mimi ndo nawapondea wasukuma hata kwa lori la nguruwe atapanda aje amuone mchuchu wakeHivi naweza pata booking ya dreamliner kesho asubuhi au ishajaa. Maana sisi wasukuma kwetu Maswa. Huwa hatupendi zalau.
karibu papupi hii ndo raha ya jf stress freeHahahah mkuu, umeufanya usiku wangu uwe mzuri japo nilikua nina stress. Barikiwa
We huoni masimamngo hayo unayoyatoa?
Usiku mwema mama..aaaaaaa mimi ndo nawapondea wasukuma hata kwa lori la nguruwe atapanda aje amuone mchuchu wake
ninaongea kitu cha kweli kabisa kuna kijana alilazwa mpaka hatua ya kuvaa pampers sababu alikuwa anaogopa kunywa dawa za malaria akiskia homa anawahi panadol anamega kipande ananywea na azam embe ,kaifuga malaria siku inalipuka ndo kitandani hoi bin taaban hana fahamu.amu hii umezidisha bwana daaah ahahahahaha hii ya panado hapana
nawe pia pakaUsiku mwema mama..
aaaaaaa mimi ndo nawapondea wasukuma hata kwa lori la nguruwe atapanda aje amuone mchuchu wake