Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,270
- 29,939
Unajua roho yangu inaniuma sana ukisema hayo maneno yako.....Wanakunywa chai kweny kombe la plastic na chama(snack za watoto)
Unajua roho yangu inaniuma sana ukisema hayo maneno yako.....Wanakunywa chai kweny kombe la plastic na chama(snack za watoto)
nakumbuka kabisa yaani ile picha za watoto walivyokuwa wanaleana ikaanzishwa kama fund fulani halafu kama unawajua parapanda wanavyojua kuimba kwa hisia,japo watu wa makete wanadai eti ile ilikuwa deal maana watu wengi wa makete wanaishi nje walikuwa wanataka misaada tuhuko noma yan ukimwi kama mafua tu....
nakumbuka kabisa yaani ile picha za watoto walivyokuwa wanaleana ikaanzishwa kama fund fulani halafu kama unawajua parapanda wanavyojua kuimba kwa hisia,japo watu wa makete wanadai eti ile ilikuwa deal maana watu wengi wa makete wanaishi nje walikuwa wanataka misaada tu
Tena wanaulizana kabisa wee unakunywa supu ya pweza unao mzigo leo au?Wanaume wa Dar ni spishizi tofauti kabisa mwanaume anakunywa chai na chips snack haki huyo mie hawezi kunimuduhapo sasa utawaweza wanaume wa dar na walivyo na stress za mapenz na wakiamini mkombozi wa mambo yetu ni pweza na supu yake hapo mahala pake....
aaaa huko watakufa hawa, imagine mauzo yamepungua hata hela ya umeme hairudi kwa siku,aaaa nimejipumzikia mie wauza juice za miwa nao hali tia maji tia maji,ukienda dukani kwa mangi ukiagizia ppsi baridi wanakushangaa mijanaume eti huogopi baridi nawajibu sina ngiri mie
nauhakika ukimwi upo sana kule na ile stori miaka ile ni ya kweli nakumbuka nlikuwa shule ya sekondari olevel nlilia kuona zile picha za watoto wameathirika na hawana wa kuwalea nao wanalea watoto wenzao,wamakete wanasema hivyo kujificha tu ila wanajua ukweli,we si unaona kawaida tu sisi wabongo mvua ikinyesha rate ya mimba inaongezekalabda ila me huwa nasikia kuna sehemu noma kuna ngoma sana
pole mwanaume wa DarUnajua roho yangu inaniuma sana ukisema hayo maneno yako.....
Ntakua nakuja kununua ice cream zako zote mamA kesho tengeneza za lakimimi nko dar nimefunga hata kabishara changu cha mabarafu ice cream ni hasara wanaume wa Dar wanaogopa ngiri
Mungu fund aljuaSasa dar kukiwa na barid kama hilo population itakuwa kubwa sana sana mkuu hilo joto watu hawalipendi yan
aaa baba swaleh niache najikaza mie,hapa yenyewe nipo ndani ya duvetNtakua nakuja kununua ice cream zako zote mamA kesho tengeneza za laki
Hili ni tusi kubwa kwa wanaume wa dar[emoji23] [emoji23] [emoji23]Wanakunywa chai kweny kombe la plastic na chama(snack za watoto)
Mungu fund aljua
Hahaha et unauza ice cream .. Ila we mwongo weweaaa baba swaleh niache najikaza mie,hapa yenyewe nipo ndani ya duvet
Ntakua nakuja kununua ice cream zako zote mamA kesho tengeneza za laki
Nenda huko ukalalepole mwanaume wa Dar
Uwepo wA jiwe umeleta bard dar tunawah kulala sasa hvi
Amu mshkaji wangu namtania tuningeshangaa sana kama wadau wasingejitokeza 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
nauhakika ukimwi upo sana kule na ile stori miaka ile ni ya kweli nakumbuka nlikuwa shule ya sekondari olevel nlilia kuona zile picha za watoto wameathirika na hawana wa kuwalea nao wanalea watoto wenzao,wamakete wanasema hivyo kujificha tu ila wanajua ukweli,we si unaona kawaida tu sisi wabongo mvua ikinyesha rate ya mimba inaongezeka
eee hatulimi mashamba tunalima vitandaahahahaha Eti mvua ikinyesha rate ya mimba inaongezeka...mvua intrigger sexual intercourse sio .....