Baridi Linaloendelea Tanzania

Baridi Linaloendelea Tanzania

Tena wanaulizana kabisa wee unakunywa supu ya pweza unao mzigo leo au?Wanaume wa Dar ni spishizi tofauti kabisa mwanaume anakunywa chai na chips snack haki huyo mie hawezi kunimudu

Hahahahahaha Ugali hawapendi sasa kwenda three rounds ni ishu kabisa yani ahahahahahaha, eti hawez kunimudu ? how far do u go ? teh...
 
kweli tena huyu nahisi alikuwa hana hela ya kunua chapati kwa fatuma akaishia kununua chama nlimchekaaaa sana kwa aibu akampa mwanangu chama
Hahaha na mwanao akasema asante anko. Yule jamaa ndo mm nlkua nakuvizia
 
Hahaha na mwanao akasema asante anko. Yule jamaa ndo mm nlkua nakuvizia
aaaa mwanangu hajui kusema akapokea tu,halafu jamaa mwenyewe mtaa mzima wanamuaminia kwa kubeti wanasema mkono wa dhahabu ....yaani wanawahi kumbook wawabetie ,watu wa Dar bana
 
Tena wanaulizana kabisa wee unakunywa supu ya pweza unao mzigo leo au?Wanaume wa Dar ni spishizi tofauti kabisa mwanaume anakunywa chai na chips snack haki huyo mie hawezi kunimudu

Dah.. una manyanyaso ya chinichini sana[emoji28]
 
aaa hilo swali la mwisho sijaliona lakini mimi nakupikia dona na dagaa ili mengine niwe na uhakika nayo

ahahaha eti swali la mwisho hujaliona haya bwana ila ugali chakula safi sana when it comes kumpa mtu nguvu
 
Nlikuwa Mt usambara sehemu za masange,lutindi huko kuna baridi balaa

Ova
 
Back
Top Bottom