Mkuu atakua haijui, baridi ya kitulo ni balaa.Unaijua kitulo au unaiskia?
Mkuu atakua haijui, baridi ya kitulo ni balaa.Unaijua kitulo au unaiskia?
Joto ndio rahisi kupambana nalo,Nadhani unakumbuka kuna AC.tafiti zinaonyesha ni rahisi na ni nafuu kupambana na baridi kuliko joto,joto linasababisha mpaka stress likikubali,wakazi wa dar wanajua.
Mjomba huko wanaishi na mabarafu 24/7 na bado ukicheki mji una maendeleo lakini sisi hali ya hewa nzuri throughout ila bila bilaNoma sana, Makete kama vile Yakutsk, Russia
Si ya kuchekaLast week nilikuwa huko ilikuwa inasoma 5 nilivaa suruali 2, soks 6, fulana, Tshirt, shati, sweta, gloves za sweta na mzura (wao wanaita musula) ndipo nikapata kausingizi
Nitakoga hata mara 7 kwa siku potelea bondeni.joto likikubali lile halina upepo wa kulipoza unahisi hewa nzito yani unahisi kufa kufa
Usichekee mkuu, ukifanya masihara kule unakufa ile baridi si mchezo, kila unayekutana naye anatokwa kamasi, mvuke mdomoni na machoziSi ya kucheka
Hiyo ni Kitulo leoUnaijua kitulo huko ni zaidi ya urusi
kusanyeni majani muwashe moto,inavuka sifuri hiyo sasa hivi mkichelewaHiyo ni Kitulo leo View attachment 2279623
hawa wanazungumzia joto linalopoozwa na fan.joto likikubali lile halina upepo wa kulipoza unahisi hewa nzito yani unahisi kufa kufa
Baridi ya mbeya Ina upepo na humidity afadhali Ile baridi dry kuliko baridi ya upepo na hewa yake Ina umajimaji.Nitakoga hata mara 7 kwa siku potelea bondeni.
Ila baridi inatesa mtu kujikunyata kila wakati kama umeonewa.
Ndy maana mleta mada nimemuuliza anaijya kituloHiyo ni Kitulo leo View attachment 2279623
Kwahiyo mkuu unataka kuona picha ya baridi cyo
Duh na kazi na ofisi ni humo humo ndo mwalimu na shule nzima walimu wawili tuInategemea na pahala umefikia. Kama umefikia sehemu comfortable, chumba kizuri cha kisasa, madirisha ya vioo,kumepigwa ceiling nzuri. Ndani kuna umeme, TV nzuri kubwa ,kinga'muzi kilicholipiwa na External Hard drive yenye movie za kutosha,kitanda kina blanketi nzuri nzito za kukupa joto.
Jikoni kuwe na chakula especially bites za kutosha kama biscuits, karanga, tambi, zabibu kavu, matunda mbali mbali, kahawa nzuri kama Nestle, maziwa, asali, tangawizi ya unga, heater ya maji, upate na internet hapo aaaaaah wewe hautataka kuondoka hilo eneo.