Baridi la Makete

Unaijua kitulo huko ni zaidi ya urusi
Hiyo ni Kitulo leo
Screenshot_20220703-074113_Google.jpg
 
Nitakoga hata mara 7 kwa siku potelea bondeni.

Ila baridi inatesa mtu kujikunyata kila wakati kama umeonewa.
Baridi ya mbeya Ina upepo na humidity afadhali Ile baridi dry kuliko baridi ya upepo na hewa yake Ina umajimaji.

Zipo Nchi mpaka snow inashuka ila kama hakuna upepo na humidity basi hutoskia baridi kama ukiwepo njombe ambayo Haina snow
 
Jana nimejikuta fala na ni hapa dar nimelala nahisi baridi huku na huku nimevaa fulana kabisa na bukta

Nakuja gundua kuwa nimelala na feni linko on nikazima nikaona sio kali kawaida tu

Anyway makete ukijamba ushuzi unaganda kama jiwe
 
Inategemea na pahala umefikia. Kama umefikia sehemu comfortable, chumba kizuri cha kisasa, madirisha ya vioo,kumepigwa ceiling nzuri. Ndani kuna umeme, TV nzuri kubwa ,kinga'muzi kilicholipiwa na External Hard drive yenye movie za kutosha,kitanda kina blanketi nzuri nzito za kukupa joto.

Jikoni kuwe na chakula especially bites za kutosha kama biscuits, karanga, tambi, zabibu kavu, matunda mbali mbali, kahawa nzuri kama Nestle, maziwa, asali, tangawizi ya unga, heater ya maji, upate na internet hapo aaaaaah wewe hautataka kuondoka hilo eneo.
Duh na kazi na ofisi ni humo humo ndo mwalimu na shule nzima walimu wawili tu
 
Back
Top Bottom