Duh hii kubwa kabisa. Niliwahi kumsotea binti mmoja miaka hiyo ya ujana. She was very beautiful (kwa vigezo vyangu). Wengi walikuwa wanasotea lakini wapi. Siku ya kupata ndio nikagundua hilo and she was very frank about it. Lakini ilikuwa ni raha sana ile kumbatana naye tu na alikuwa na tabia nzuri kweli. Ndio maana alikuwa ngumu kutoa. Maskini sijui yuko wapi siku hizi.