Gilbert A Massawe
JF-Expert Member
- May 14, 2015
- 6,204
- 5,069
Mh mm nasema ziuzwe tu akuna namna
Mkubwa mbona hata hiyo NMB waholanzi wamejaa kuanzia juu, sidhani kama tutaendelea kua na benki ya Taifa tena.
Hatimaye Benk ya Barclay yainunua Benki ya Taifa ya Biashara (NBC Tanzania), Pasipo shaka yoyote naweza sema NBC tanzania ipo chini ya Barclays kutokana na mienendo ya bank hizo mbili.
![]()
Kitu cha kwanza, ni kukutana na majina ya Barclays katika Ofisi za Bank ya NBC wakati ni Mshindani wake, Hii inatia shaka.
Kitu cha pili ni kushare wafanyakazi. Yaani si ajabu mfanyakazi wa Barclays kumkuta NBC au Mfanyakazi wa NBC Tanzania Kumkuta kule Barclays.
Kitu cha tatu kinachofanya niseme Barclays imeinunua NBC Tanzania, ni Kitendo cha Managing Director wa Barclays Misri bwana Edward Marks, kuletwa NBC Tanzania na kuwa Managing Director wa NBC Tanzania.
Banki ya Taifa ya biashara (NBC) inao uzoefu usiopungua miaka 47 katika kutoa huduma za kibenk huku ikiwa na Mtandao wa Matawi yasiopungua 52 na Visa ATM zaidi ya 250 nchi nzima.
![]()
Kilichonifanya nianzishe hii Thread ni kutaka kujua;
1. Kwanini NBC isibadilishe mabango yao yawe Barclay wakati kiutendaji wapo kibarclays?
2. Kwani wajifanye NBC na Barclays ni washindani wakati ni kiini Macho?
3. Tanzania ina hisa NBC, Je wakibadilisha Jina na kuwa Barclay kuna Tatizo litakalotokea?
4. Je hii ni njia ya Kutuibia Tanzania au hakuna Tatizo?
Nijuavyo mi m i ni ABSA ndiuo ilinunua Barcleys Africa Operations!NBC ilinunuliwa na ABSA ya South Afrika.
Kiasi cha miaka miwili iliyopita, Barclays wameinunua ABSA. Toka wakati huo, NBC ni mali ya Barclays Bank
NMB asilimia kubwa inamilikiwa na waholanzi kama sikosei, wabongo tuna hisa chache sana hapo. labda CRDB Ndio bank inayomillikiwa na watz wengi kwa hisa. yafaa tuanzishe bank mpya ya biashara ya kitaifa, tubadilishe hata hiyo umoja ya UTT iwe umoja bank kwaajili ya watz.....manake kwasasa hatuna bank ya taifa letu.Uuuzwaji wa NBC ulimtoa Mwl. machozi. By the way, ni kwanini NMB kabenki kanokadaiwa ka mafukara ambako ni katawi kalikomegeka kutoka giant NBC inafanya vizuri wakati li-giant linakufa kifo cha mende? Tatizo ni menejimenti? Au ni kitu gani?
Kwenye biashara za kimataifa makampuni kuungana(merge)ni kitu cha kawaida mara nyingi mwenye mtaji mkubwa anaweza kununua kampuni ingine yenye biashara kama yake ili kujipanua kibiashara,hilo ni jambo la kawaida na sio wizi tujitahidi kujisomea kwenye mitandao ili kunufaika na resource zilizopo kwenye mitandao na tusiwe tunasoma tu kwa ajili ya mitihani bali kuongeza ufahamu,shida yetu watanzania tunapenda sana kusoma na kuumbana kwenye mambo ya kawaida sana kama udaku au mambo ya ushabiki wa kisiasa,tusome ili tuelewe mambo,dunia inabadilika kwa kasi na dunia sasa ipo kwenye ncha ya kidole,dunia ya sasa ni soko la kibepari ,serikali imejitoa kwenye biashara inachofanya ni kusimamia tu sera za biashara na misingi yake,mambo ya SU huenda tumebaki na Tanesco tu naye sababu ni ng'ombe wa maziwa wa watu fulani.Hatimaye Benk ya Barclay yainunua Benki ya Taifa ya Biashara (NBC Tanzania), Pasipo shaka yoyote naweza sema NBC tanzania ipo chini ya Barclays kutokana na mienendo ya bank hizo mbili.
![]()
Kitu cha kwanza, ni kukutana na majina ya Barclays katika Ofisi za Bank ya NBC wakati ni Mshindani wake, Hii inatia shaka.
Kitu cha pili ni kushare wafanyakazi. Yaani si ajabu mfanyakazi wa Barclays kumkuta NBC au Mfanyakazi wa NBC Tanzania Kumkuta kule Barclays.
Kitu cha tatu kinachofanya niseme Barclays imeinunua NBC Tanzania, ni Kitendo cha Managing Director wa Barclays Misri bwana Edward Marks, kuletwa NBC Tanzania na kuwa Managing Director wa NBC Tanzania.
Banki ya Taifa ya biashara (NBC) inao uzoefu usiopungua miaka 47 katika kutoa huduma za kibenk huku ikiwa na Mtandao wa Matawi yasiopungua 52 na Visa ATM zaidi ya 250 nchi nzima.
![]()
Kilichonifanya nianzishe hii Thread ni kutaka kujua;
1. Kwanini NBC isibadilishe mabango yao yawe Barclay wakati kiutendaji wapo kibarclays?
2. Kwani wajifanye NBC na Barclays ni washindani wakati ni kiini Macho?
3. Tanzania ina hisa NBC, Je wakibadilisha Jina na kuwa Barclay kuna Tatizo litakalotokea?
4. Je hii ni njia ya Kutuibia Tanzania au hakuna Tatizo?
Alikuwa hana sababu ya kutoa machozi. NBC ilikuwa ni benki feki iliyoundwa kutokana na benki za binafsi inkiwemo Barclays, Standard Bsnk, n.k. Tukashindwa kuiendesha na ikabidi ibinafdishwe tena.
kama wame merger kwanini wanajiendesha kama benki tofauti na kufake competetion? hiyo ndiyo hoja ya mtoa mada. usikurupuke.Kwenye biashara za kimataifa makampuni kuungana(merge)ni kitu cha kawaida mara nyingi mwenye mtaji mkubwa anaweza kununua kampuni ingine yenye biashara kama yake ili kujipanua kibiashara,hilo ni jambo la kawaida na sio wizi tujitahidi kujisomea kwenye mitandao ili kunufaika na resource zilizopo kwenye mitandao na tusiwe tunasoma tu kwa ajili ya mitihani bali kuongeza ufahamu,shida yetu watanzania tunapenda sana kusoma na kuumbana kwenye mambo ya kawaida sana kama udaku au mambo ya ushabiki wa kisiasa,tusome ili tuelewe mambo,dunia inabadilika kwa kasi na dunia sasa ipo kwenye ncha ya kidole,dunia ya sasa ni soko la kibepari ,serikali imejitoa kwenye biashara inachofanya ni kusimamia tu sera za biashara na misingi yake,mambo ya SU huenda tumebaki na Tanesco tu naye sababu ni ng'ombe wa maziwa wa watu fulani.
majipu mengine ya shingo, yakitumbuliwa na mkurupukaji kama magufuli mgonjwa anakufa.Yote tisa, kumi nd'o hili la NBC ambalo watanzania kimsingi tulipigwa, hapa nd'o ngoja nimuone rais wangu Magufuli anachezaje na hili jipu.
Hatimaye Benk ya Barclay yainunua Benki ya Taifa ya Biashara (NBC Tanzania), Pasipo shaka yoyote naweza sema NBC tanzania ipo chini ya Barclays kutokana na mienendo ya bank hizo mbili.
![]()
Kitu cha kwanza, ni kukutana na majina ya Barclays katika Ofisi za Bank ya NBC wakati ni Mshindani wake, Hii inatia shaka.
Kitu cha pili ni kushare wafanyakazi. Yaani si ajabu mfanyakazi wa Barclays kumkuta NBC au Mfanyakazi wa NBC Tanzania Kumkuta kule Barclays.
Kitu cha tatu kinachofanya niseme Barclays imeinunua NBC Tanzania, ni Kitendo cha Managing Director wa Barclays Misri bwana Edward Marks, kuletwa NBC Tanzania na kuwa Managing Director wa NBC Tanzania.
Banki ya Taifa ya biashara (NBC) inao uzoefu usiopungua miaka 47 katika kutoa huduma za kibenk huku ikiwa na Mtandao wa Matawi yasiopungua 52 na Visa ATM zaidi ya 250 nchi nzima.
![]()
Kilichonifanya nianzishe hii Thread ni kutaka kujua;
1. Kwanini NBC isibadilishe mabango yao yawe Barclay wakati kiutendaji wapo kibarclays?
2. Kwani wajifanye NBC na Barclays ni washindani wakati ni kiini Macho?
3. Tanzania ina hisa NBC, Je wakibadilisha Jina na kuwa Barclay kuna Tatizo litakalotokea?
4. Je hii ni njia ya Kutuibia Tanzania au hakuna Tatizo?
Kwenye biashara za kimataifa makampuni kuungana(merge)ni kitu cha kawaida mara nyingi mwenye mtaji mkubwa anaweza kununua kampuni ingine yenye biashara kama yake ili kujipanua kibiashara,hilo ni jambo la kawaida na sio wizi tujitahidi kujisomea kwenye mitandao ili kunufaika na resource zilizopo kwenye mitandao na tusiwe tunasoma tu kwa ajili ya mitihani bali kuongeza ufahamu,shida yetu watanzania tunapenda sana kusoma na kuumbana kwenye mambo ya kawaida sana kama udaku au mambo ya ushabiki wa kisiasa,tusome ili tuelewe mambo,dunia inabadilika kwa kasi na dunia sasa ipo kwenye ncha ya kidole,dunia ya sasa ni soko la kibepari ,serikali imejitoa kwenye biashara inachofanya ni kusimamia tu sera za biashara na misingi yake,mambo ya SU huenda tumebaki na Tanesco tu naye sababu ni ng'ombe wa maziwa wa watu fulani.
mkuu asante kwa hapo kwenye red, nimejifunza kitu. ila usijeukawa umedanganya.Hili swala toka mwaka juzi ndugu ndo unalijua leo kilichotokea ni kwamba Barclays waliinunua ABSA ya SA ambayo iko na hisa lukuki NBC so automatically Barclays ajachukua hizo hisa akapata umiliki wa NBC anyway wamechukua chao kwani kabla ya hapo si ilikuwa Barclays ndo Nyerere akaitaifisha na kuwa NBC
Nmb nayo ndio tulisha ikabidhi jumla kwa makaburu.
Mkubwa mbona hata hiyo NMB waholanzi wamejaa kuanzia juu, sidhani kama tutaendelea kua na benki ya Taifa tena.