Barclays kanunua absa ambao wanamilki nbc Tanzania muda Kama wadau walivyosema, Tanzania ni minority shareholder kwa hiyo Hata wakibadili jina au kuacha ni maamuzi ya barclays , ni biashara tu kutuibia hisa zetu ni suala lingine tena msajili wa hazina ni former ceo wa nbc Tanzania
Uuuzwaji wa NBC ulimtoa Mwl. machozi. By the way, ni kwanini NMB kabenki kanokadaiwa ka mafukara ambako ni katawi kalikomegeka kutoka giant NBC inafanya vizuri wakati li-giant linakufa kifo cha mende? Tatizo ni menejimenti? Au ni kitu gani?
Nauona mtihani mgumu lakini wa maana sana wa kwanza wa Rais Magufuli....
Na huu ni ujanja ujanja wa kutaka kuichukua NBC mazima.
Nauona mtihani mgumu lakini wa maana sana wa kwanza wa Rais Magufuli
Hili swala toka mwaka juzi ndugu ndo unalijua leo kilichotokea ni kwamba Barclays waliinunua ABSA ya SA ambayo iko na hisa lukuki NBC so automatically Barclays ajachukua hizo hisa akapata umiliki wa NBC anyway wamechukua chao kwani kabla ya hapo si ilikuwa Barclays ndo Nyerere akaitaifisha na kuwa NBC
Uuuzwaji wa NBC ulimtoa Mwl. machozi. By the way, ni kwanini NMB kabenki kanokadaiwa ka mafukara ambako ni katawi kalikomegeka kutoka giant NBC inafanya vizuri wakati li-giant linakufa kifo cha mende? Tatizo ni menejimenti? Au ni kitu gani?
NBC haijafa mkuu,
Kuna technical issues, expenses nyingi (kubwa kubwa hasa za IT) zinafanyikia South huku intumwa invoice, hizi zinaathiri faida.
NBC imejikuta ina deni kubwa kwa ABSA, na hili deni linaitaka pia serikali ilipe kiasi ambacho ni related na share zake au iuze share zake kwa ABSA.
Na huu ni ujanja ujanja wa kutaka kuichukua NBC mazima.
Ni muda mrefu sasa ni zaidi ya miaka kumi,niliipata nikiwa zenj mji mkongwe.Serikali ilikataa kubadilisha jina ila tangu baclay waliponunua sabank ambaye ni mmiliki wa nbc automatically nbc ilikuwa mali ya baclay ila kwa aibu serikali iligoma jina lisibadilike maana baclay walitoa offer nzuri ila wadanganyika walikataa politically ati kwa vile england walitutawala sasa Wazungu wana akili wakamnunua aliyekununua mchezo kwisha!!!!
Mbona hiyo kitambo sana, kwani ulikuwa hujui..??
Barclays ndo ilinunua ABSA ambayo ilikuwa inamiliki majority shares NBC.Namshangaa...wote wanamilikiwa na ABSA ya South Africa, Barclays yenyewe iliuzwa kwa ABSA