Barcelona usajili wa Gabriel Jesus mbovu

Barcelona usajili wa Gabriel Jesus mbovu

Halafu matokeo yakawaje timu hizo zikikutana?
Mwambie kocha wa Barca ni yule yule Germany machine Hansi Flick wakati huo wao wameshatimua makocha watatu mpaka sasa.

Don Carlo,Xabi Alonso na Arbeloa.
 
Mwambie kocha wa Barca ni yule yule Germany machine Hansi Flick wakati huo wao wameshatimua makocha watatu mpaka sasa.

Don Carlo,Xabi Alonso na Arbeloa.
Amejisahaulisha kuwa Barca ndio National team ya Spain. Barca imara huleta UERO na WORLD CUP Spain ila sio Madrid imara.

Mashabiki wa Madrid mara ya mwisho Classico ya Iniesta walimpgia makofi Iniesta.
 
Nikumbushe kwanza, hivi El Classico ni lini?

Hili ni swali ambalo nilitamani kuona mashabiki wa Barcelona wakijiuliza.

Wakati Barcelona wanamleta Pedri, sisi tunamleta Bellingham.

Barcelona wanamleta Raphinha, sisi tunamleta Vini.

Barcelona wanamleta Fermin Lopez, sisi tunamleta Arda Guller

Wanamleta Garcia, sisi tunamleta Courtois

Wanamleta Rodri, tunamleta Benardo Silva.

Sasa napomleta Mbappe kama Striker wangu, nawe utamleta Gabriel Jesus?

Lakini mwisho was siku, Madrada mnanyukwa ba barca, 😂😂😂😂
 
Asante kwa kunikumbusha.

Ila idadi ya mechi ulizonifunga zina fanana na namba za UCL trophies za carrier nzima ya Club.

Hii ina maanisha kwamba kwa msimu mmoja ni rahisi Barcelona kuifunga Madrid mara 5, ila kuwin UCL mara 5 mtahitaji miaka 23.

Umezungumzia El classico na sio UEFA.
kubali kuwa madrada ni underdog kwa Barca. 😂😂😂
 
Umezungumzia El classico na sio UEFA.
kubali kuwa madrada ni underdog kwa Barca. 😂😂😂
UEFA?

Hakuna anayejua nani atachukua UEFA msimu huu.

Ila wote tunajua nani ambaye hatochukua.
FB_IMG_1788383394364.jpg
 
Amejisahaulisha kuwa Barca ndio National team ya Spain. Barca imara huleta UERO na WORLD CUP Spain ila sio Madrid imara.

Mashabiki wa Madrid mara ya mwisho Classico ya Iniesta walimpgia makofi Iniesta.
Kama Barca ndio uti wa mgongo wa national team ya Spain. Why UEFA hamchukui?
 
Kwanini walimuacha yule dogo Ferran Torres aende PSG, na kwenda kwa Jesus?...
Kama unafuatilia mechi za Barcelona usingeuliza ili swali.

Torres ni maji kupwa maji kujaa anayebebwa na kufunga magoli yasiyotarajiwa kwa baadhi ya mechi.

Kwa kifupi hana consistency,anakufurahisha mechi moja anakuboa mechi 4 au 5.

Anapata clear chance 10 anafunga goli 2 anapoteza nafasi 8.

Barca sio wajinga kumuachia na kuangaika kumsajili Alvarez.
 
Kwako Jesus ni Chaguo bora kuliko Torres?.
 
Kwako Jesus ni Chaguo bora kuliko Torres?.
Yes Jesus kwangu ni bora kuliko Torres.

Halafu Jesus sio mchezaji mbaya ni majeruhi ndio yalimgharimu.

Akiwa full fit kwa uchezaji wake na kwa Barca ilivyo atafunga sana.

Mwisho kabisa Jesus ni suluhisho la muda mfupi tukiwa tunasubiri deal la Alvarez ambalo linawezekana likakamilika mwezi wa kwanza.
 
Labda unatania, lakini Torres ni mzuri kuliko GJ. Barca walitakiwa waende Kwa striker ambaye yupo on fire na sio hizi dead woods
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom