Mtoboasiri
JF-Expert Member
- Aug 6, 2009
- 5,101
- 1,948
Ahali yangu.
Ninaposema uoga ndio huo inaobainisha na wewe umeweka wazi.
Kwa mujibu wa Maandiko yako Znz wanataka Serikali tatu. Je Tanganyika mna msimamo gani? mbona mumekuwa mabubu kwa hili? Na hilo ndilo ninalosema kuwa ni waoga sana katika maamuzi kwani muna manufaa mengi mnayopata kutokana na kujivika jho la muungano kiasi cha kufikia kuacha jina lenu la asli.
Poleni sana
Barubaru, nani ni bubu? Umeamua kuwa na selective amnesia? Unakumbuka Tundu Lissu alisema nini wakati wa mjadala wa mswada wa katiba mpya? Sisi hatutaki huo muungano wa mkataba au serikali tatu, muungano wa aina hiyo ni wa ccm na hatuoni faida yake zaidi ya kusikia malalamiko tuu na yasiyoisha toka kwa watu tunaowabeba. Ama serikali moja au Zanzibar iende itakako kwenda.