Barazani Kwa Ahmed Rajab: Muungano wa Mkataba utaleta Umoja wa Afrika

Wenzangu mna moyo.. mimi nawaona tuwaunge mkono muungano wa mkataba kwa masharti kwanza Zanzibar wajiondoe kwenye Muungano huu wa sasa. Wakishatoka ndio Tanganyika tuamue kama tunataka muungano wa kimkataba. Kwa hiyo tuwashauri Zanzibar wajitoe kwanza kwenye muungano huu.. Let ZNZ Go!
kweli mkuu hizi kelele zinatuchosha tu ...mkataba wa nini apa kila mtu afe kivyake
 
Katika bandiko hapo juu tumeeleza kuwa ZNZ wanataka muungano wa mkataba kwa maslahi yao.
Kila siku tumesikia wakisema waachwe wapumue wakati huo huo wanataka mkataba.

Viongozi wao maarufu akina Maalim Seif katibu mkuu CUF ambaye ameikana sera cuf ya serikali 3, Jusa Ismail ambaye ameshindwa kutaja mkataba wa muungano hata kwa bahati mbaya, Ahmed Rajab anayedhani WZNZ wana haki zaidi ya kuamua ushirikiano na si Tanganyika, wote wamekutana na kauli ya Dr Sheni bila kumun'ngunya maneno.

Akipokelewa ZNZ kutoka Dodoma Sheni amenukuliwa na gazeti la Habari leo 18 Novemba 2012 ''Sheni kulinda Muungano'' akisema CCM haijaungana na CUF na hawajui mkataba wa muungano ni nini.

Sheni amesema '' katika muungano uliopo ZNZ imefaidika na elimu hasa kama mikopo ya elimu ya juu''.
akaendelea kusema '' WZN waliopo bara wanaendelea na shughuli zao za kibiashara bila bughudha na kupata kipato kikubwa zikiwa ni fursa za muungano''

Maneno hayo ameyasema Rais wa ZNZ anayeijua ZNZ vizuri.
Kwa Watanganyika mnaona kwanini wenzetu wanakesha wakimtukana Nyerere huku wanautaka muungano wa Nyerere.

Mara zote tumekuwa tunasema muungano uliopo au utakakuwepo ni kumsaidia Mzanzibar tofauti na ulaghai wa genge la sultani linalotaka kuwaumiza wananchi kwa ulafi na uroho wa madaraka.

Mimi si amini katika serikali 2, 3, mkataba wa Uswiss, Sengambia au upuuzi mwingine.
Hoja yangu kubwa ni Wazanzibar watulie wafunge vinywa vyao kwa adabu ili walelewe au waondoke na kuambatana na genge la akina Jusa wasiojua wanataka nini hasa, period!

Anayepinga kauli za Sheni (Rais wa ZNZ mwenye bajeti na serikali) ajitokeze

cc
Sheikh Baru baru, maalim Takashi, Almaarufu Nonda,
Joka kuu, Mzee Mwanakijiji, Jasusi, Mkandara, Mag3, jmsuhi1,Ngongo, Elizabeth Dominic, mwanaukweli
 
Naona nguruvi 3 umepitwa na wakati......Kiongozi mkuu Ahmed Rajabu sasa hivi anazungumzia "mashirikiano" na sio mkataba!!
 
Last edited by a moderator:
Vile vile mtoa mada umepitwa zaidi na wakati kwani alichobainisha Dr Shein ni kuwa anatetea Sera za Chama chake CCM ni muungano huu wa Serikali mbili na si vinginevyo.

Kumbuka kuwa CCM ni chama kikubwa huko Tanganyika n hata unguja. Lakin ikumbukwe kuwa SIO RAIA WOTE WA TZ NI CCM hivyo nao wana mitazamo yao.

msome vizuri Dr Shein utamuelewa.
 
Katika bandiko hapo juu tumeeleza kuwa ZNZ wanataka muungano wa mkataba kwa maslahi yao.
Kila siku tumesikia wakisema waachwe wapumue wakati huo huo wanataka mkataba.

Viongozi wao maarufu akina Maalim Seif katibu mkuu CUF ambaye ameikana sera cuf ya serikali 3, Jusa Ismail ambaye ameshindwa kutaja mkataba wa muungano hata kwa bahati mbaya, Ahmed Rajab anayedhani WZNZ wana haki zaidi ya kuamua ushirikiano na si Tanganyika, wote wamekutana na kauli ya Dr Sheni bila kumun'ngunya maneno.

Akipokelewa ZNZ kutoka Dodoma Sheni amenukuliwa na gazeti la Habari leo 18 Novemba 2012 ''Sheni kulinda Muungano'' akisema CCM haijaungana na CUF na hawajui mkataba wa muungano ni nini.

Sheni amesema '' katika muungano uliopo ZNZ imefaidika na elimu hasa kama mikopo ya elimu ya juu''.
akaendelea kusema '' WZN waliopo bara wanaendelea na shughuli zao za kibiashara bila bughudha na kupata kipato kikubwa zikiwa ni fursa za muungano''

Maneno hayo ameyasema Rais wa ZNZ anayeijua ZNZ vizuri.
Kwa Watanganyika mnaona kwanini wenzetu wanakesha wakimtukana Nyerere huku wanautaka muungano wa Nyerere.

Mara zote tumekuwa tunasema muungano uliopo au utakakuwepo ni kumsaidia Mzanzibar tofauti na ulaghai wa genge la sultani linalotaka kuwaumiza wananchi kwa ulafi na uroho wa madaraka.

Mimi si amini katika serikali 2, 3, mkataba wa Uswiss, Sengambia au upuuzi mwingine.
Hoja yangu kubwa ni Wazanzibar watulie wafunge vinywa vyao kwa adabu ili walelewe au waondoke na kuambatana na genge la akina Jusa wasiojua wanataka nini hasa, period!

Anayepinga kauli za Sheni (Rais wa ZNZ mwenye bajeti na serikali) ajitokeze

cc
Sheikh Baru baru, maalim Takashi, Almaarufu Nonda,
Joka kuu, Mzee Mwanakijiji, Jasusi, Mkandara, Mag3, jmsuhi1,Ngongo, Elizabeth Dominic, mwanaukweli

Wewe wacha kuongea maneno ya kilevi.shein na watanganyika ndo aina ya watu hao mwandishi aliosema kwamba muungano wa mkataba hawauelewi.zanzibar inafaidika nanini juu ya muungano.kama nikufanya biashara wapemba wapo kibao kule kenya hasa maeneo ya mombasa na wamejenga majumba yakutosha huko na hata mitaa ipo inayojulikana kama ni mitaa ya wapemba.kama munataka muungano ungana na uganda ama congo.bullshit!
 
Nitajie taifa lolote duniani lenye kubeba WZN wengi kuliko Tanganyika.

Huko Mombasa wanapata ajira na elimu ya bure kama Tanganyika. Kwanini basi msifanye mkataba wa muungano na Mombasa au Kenya.

Kama hamfaidiki na muungano, huo wa mkataba mnategemea kufaidika na nini?
Muungano wa mkataba ni kitu gani? hebu tufahamishe maana Jusa(mentor) wenu na Ahmed wameshindwa kusema hata neno moja linalouhusu.

Kwanini mnadhani ninyi mna haki zaidi ya kuamua aina ya ushirikiano na si wananchi wa Tanganyika mliokaaa migongoni mwao.
Nini kinawashinda kuondoka na kurudi katika nchi ya asali na maziwa?
Je, aliyosema Sheni si kweli ?

Sheni kawaambia mchana kweupe kwa maneno yake, mtapigika! mnaihitaji Tanganyika.
Kelele mwisho chumbe, mkivuka tu bahari kuu adabu ba heshima mbele uzanzibar baadaye

LET ZNZ GO!
 
Mandi,

..ZNZ inapata umeme wa bure toka Tanganyika.

..pia serikali ya Tanganyika inalipa mishahara ya watumishi wa SMZ.

..zaidi, kuna wa-ZNZ takriban 350,000 wanaishi Tanganyika. wa-ZNZ hao wakirudishwa kwao watakuwa mzigo mkubwa kwa SMZ kwani haitakuwa rahisi kuwapatia ajira, huduma za afya,elimu, etc etc.

..kwa uchache hizo ni FAIDA ambazo ZNZ inazipata kutokana na MUUNGANO.

..sasa kama mnataka kuvunja muungano vunjeni,lakini mjiepushe na MATUSI, FITINA,CHUKI,na KEJELI, dhidi ya wa-Tanganyika.

platozoom,

..Rajab na kundi lake walianza na serikali 3, tukawapinga.

..wakaleta hoja ya muungano wa "mkataba", tukawaonyesha kwa hoja kwao huo ni upuuzi.

..sasa nadhani they have come to their senses, kwa kuja na hii hoja ya "mashirikiano."

..lakini hata hayo "mashirikiano" hatutaki yawe ya moja kwa moja kwasababu wa-ZNZ hamuishi kulalamika.

..muungano uvunjwe na "mashirikiano" kati ya Tanganyika na ZNZ yawe kupitia jumuiya za EAC, SADC, etc.
 
Mimi napenda nikuulize swali dogo tu kama unaupeo wa kuchanganua mambo utakua pamoja nami.kabla ya swali watanganyika wengi wanadhana kwamba tukivunja muungano zanzibar itapata shida.swali langu nikwamba tanganyika na zanzibar imeungana mwaka 26.4.1964.jee kabla ya hapo zanzibar haikuwepo?na kama haikuwepo ilikuweko wapi?na kama ilikuwepo wakazi wake walikua hawana huduma kama vile umeme namambo meogine?note.zanzibar ni nchi yakwanza afrika mashariki na kati kupata chanel ya tv ya rangi kama hiyo haitoshi zanzibar imeikopesha tanganyika baada ya mapinduz hadi leo nyerere hakuzilipa.all togeza say no union.lete facts nikupe facts mtu wangu
 
Una binti nyumbani kwako tena kigoli haswaa na anavutia, kabla ya kuolewa watu walikuwa wanagonganana na kugonganishwa .......na hatimaye kaingia ndoani. Chakula anapewa, nguo anaveshwa, maji anachota bure, umeme anatumia tani yake. Ndugu zake wanasomeshwa na mume bure.

Halafu ghafla anaanza vitimbi mara mume hanifai, amezeeka, ananifuja bure, simtaki. Mume anamvumilia lakini baadaye anamwambia haya nenda mwana kwenda....................Mke badala ya kwenda bila kuangalia nyuma anaanza kusema "sitaki kukuacha kabisa lakini angalau uendelee kunihudumia kwa mkataba"

Unahisi huyu binti (mama sasa) atakuwa kama alivyokuwa kigoli?
 
Mandi, Nguruvi3,

..hata kabla ya muungano ZNZ ilikuwa ikineemeka kwa DAMU na JASHO la wa-Tanganyika.

..kwanza ilikuwa ktk biashara ya UTUMWA, PEMBE ZA NDOVU, na baadaye ikaja kilimo cha KARAFUU ambapo wa-Tanganyika ndiyo walikuwa vibarua.

..mahitaji ya umeme wakati wa Sultani siyo sawa na mahitaji ya umeme ya wakati huu. population ya ZNZ imeongezeka na hivyo watumiaji wa umeme. hali hiyo imesababisha mvute umeme toka Tanganyika.

..kuhusu ZNZ kuwa nchi ya kwanza kuwa na TV ya rangi hilo nakubaliana nalo. lakini nadhani mlikosea kuwa na chombo hicho. fedha za kuanzisha TV mngeweza kuanzisha viwanda, vyuo vya ufundi, vyuo vikuu, hospitali za rufaa, etc etc. wakati mnaanzisha TV ya rangi ambayo kwa miaka ya 60/70 ilikuwa ni anasa, majirani wenu wa Kenya, Uganda, na Tanganyika walikuwa waanzisha universities, referal hospitals, viwanda.

..ZNZ ni nchi ya kwanza kuwa na TV ya rangi ktk eneo la maziwa makuu, lakini ni nchi ya mwisho kuwa na chuo kikuu cha taifa. Waswahili husema, KUPANGA NI KUCHAGUA.

..Kuhusu fedha alizotoa Aboud Jumbe, kwa kweli alipaswa kutusaidia, na siyo kutukopesha. Pamoja na hayo ni misaada mingapi wa-Tanganyika tumetoa kwa ZNZ kiasi muanze kutunyanyasa na mkopo wa Aboud Jumbe??

..mwaka huu wa bajeti, bunge la Tanganyika limempa Dr.Bilal sh bilion 32 kwa ajili ya maendeleo ya ZNZ, sasa wewe unakuja na habari za Aboud Jumbe?! Since Aboud Jumbe era, what has ZNZ done for Tanganyika??
 
Last edited by a moderator:
Mimi napenda nikuulize swali dogo tu kama unaupeo wa kuchanganua mambo utakua pamoja nami.kabla ya swali watanganyika wengi wanadhana kwamba tukivunja muungano zanzibar itapata shida.swali langu nikwamba tanganyika na zanzibar imeungana mwaka 26.4.1964.jee kabla ya hapo zanzibar haikuwepo?na kama haikuwepo ilikuweko wapi?na kama ilikuwepo wakazi wake walikua hawana huduma kama vile umeme namambo meogine?note.zanzibar ni nchi yakwanza afrika mashariki na kati kupata chanel ya tv ya rangi kama hiyo haitoshi zanzibar imeikopesha tanganyika baada ya mapinduz hadi leo nyerere hakuzilipa.all togeza say no union.lete facts nikupe facts mtu wangu
Mkuu Joka kuu kasema mengi. Hakuna shaka kuwa muungano ukivunjika ZNZ watapigika, tena sana.
Ni kwa msingi huo ndio maana wameng'angana na mkataba na upuuzi mwingine wa aina hiyo.

Nasema leo timua timua ikizuka bara, kuna WZN zaidi ya laki 4 watarudi kwao. Hapo fikiria biashara, ajira n.k. Itakuwa ni kuuana tu. There is no question about that! ZNZ inaitaka Tanganyika kwa namna yoyote ile, kwa hiari au kwa lazima.

Tanganyika ndilo taifa pekee duniani lililobeba WZNZ wengi na kuwapa huduma kuliko taifa jingine bila kitambulisho.
Ustawi wa ZNZ unategemea sana bara kiuchumi, kijamii na kisiasa.

Ni taifa gani duniani litawalipia huduma za bure kama elimu ya juu, nishati, mishahara na mafao ya uzeeni kwa uchache.
 
Wanaamini Waarabu watawapa neema.......mawazo yao yoote yapo hapo hasa kwa wale Wazanzibar "daraja la kwanza" wanaofanan na akina Jussa, Ahmed na Yusuph Himid
 
..Rajab na kundi lake walianza na serikali 3, tukawapinga.

..wakaleta hoja ya muungano wa "mkataba", tukawaonyesha kwa hoja kwao huo ni upuuzi.

..sasa nadhani they have come to their senses, kwa kuja na hii hoja ya "mashirikiano."

..lakini hata hayo "mashirikiano" hatutaki yawe ya moja kwa moja kwasababu wa-ZNZ hamuishi kulalamika.

..muungano uvunjwe na "mashirikiano" kati ya Tanganyika na ZNZ yawe kupitia jumuiya za EAC, SADC, etc.
Mkuu Joka kuu, halafu sijui nani amewafundisha ujinga wa kuwa wao ndio wenye ''say' katika muungano.
Mashirikiano na upuuzi mwingine pelekeni SADC,EAC, FIFA,CHANEZA n.k.
Tanganyika tunasema, we don't need you for anything. If you need us, behave yourself first and listen what we say .
Ukibebwa mgongoni unatulia sio kucheza msewe.

Niongezee kidogo
Nafasi za upendeleo katika elimu
Mikopo ya elimu ya juu ambayo SMZ haimudu.
Nishati ya buree kuanzia BLW hadi kwenye makazi
Bilioni 32 zisizo na kazi
Ajira za upendeleo hata kama ni zezeta
Soko la watu milioni 40 bila masharti

Mkuu Joka kuu, taarifa ya BoT inaonyesha kuwa makusanyo ya kodi ya ZNZ ni Tsh 10 bilion/month
Kwa maneno mengine ni 120 bilioni/year
Bajeti ya ZNZ ni 660 bilion/yr
Tofauti ya mapato na bajeti ni 540 Bilion ambazo zinalipwa na Tanganyika

Hapo hawana bajeti ya elimu ya juu, ulinzi na usalama na hata usafiri wa Makamu Rais Seif.
Hapo hawajalipa mishahara ambayo kwa idadi ya watumishi wa SMZ ni takribani Bilioni 45/kwa mwaka
Hapo bado hawajalipa nishati ambayo hatujui jumla yake
Hapo bado hawajalipa mafao ya uzeeni ya marais wao pamoja na wastaafu.
Hawana deni la nje

Bado wanapata 7% ya pato la taifa n.k.

Haya na aje mwenye hoja, kama hakuna hoja Wazanzibar kaaeni kimya, fungeni midomo hamna la maana la kutuambia.
Mwisho wa kelele chumbe, mkifika kwenye nchi ya Nyerere mnakaaa kimya.

Nafasi zote za kuvunja muungano mumegoma! sasa mnataka nini

Wasitupotezee muda hawa, waondoke au shut up!

LET ZNZ GO!
 
Naona nguruvi 3 umepitwa na wakati......Kiongozi mkuu Ahmed Rajabu sasa hivi anazungumzia "mashirikiano" na sio mkataba!!
Tunamsubiri amalize hadithi zake za kuwapumbaza WZN.
Tutammaliza kwa hoja zake hapa hapa. Unajua ametoka wapi?

Vunja muungano, tukwambia hewala vunja hata leo.

Aakabadili na kutaka serikali 3, tukamuonyesha jinsi zitakavyofanya kazi na ZNZ itakavyoumia. Akanywea

Mkataba wa Uswiss na Senagambia, tukamwambia Ahmed hakuna kitu kama hicho huo upuuzi mwisho chumbe.

Sasa amekuja na mashirikiano, tumemuuliza katika nini? Hana jibu.

Eti jibu lake zuri kuhusu mshairikiano ni kuwa tutawavutia wengi wajiunge! tazama upuuzi wa mtu huyu! kuna SADC, EAC, ECOWAS, UA sasa tumvutie nani tena.

Tunamsubiri amalize hoja zake tumvue nguo zilziobaki maana anadhani kila mtu ni Mzanzibar!
 
Back
Top Bottom