Ta Muganyizi
R I P
- Oct 19, 2010
- 5,361
- 2,734
Ni ujinga kuanzisha thread watu wakauliza source alafu aliyeanzisha hajitokezi wala kuchangia tena.
There are currently 240 users browsing this thread. (65 members and 175 guests)
Ta Muganyizi,
ketwas,
Mzee Mwanakijiji,
sikuyaja,
Nyongolo,
kanyanga,
ammah,
magistergtz,
OLESAIDIMU,
genekai,
babuwaloliondo,
Mr. Zero,
jcb,
gmosha48,
mkulu,
BAHARIAA,
Promise,
mtamanyali,
Nambelema,
Gobegobe,
Ngarenaro,
Doc,
sanjo,
Ndokeji,
ASHA NGEDELE,
MWENDAKULIMA,
mkirua vunjo,
dkims,
bob kalo,
tumpale,
Dkt bundala,
Du Bois ideas,
Sokaka,
Obonyo,
mpigilie,
bepari1,
Mpendwa,
Katavi,
Ngomo,
marshal,
Ngalikihinja,
Viper,
Chigoto,
Prishaz,
RealMan,
Sabung'ori,
Aggrey86,
RabidDog,
site,
gerenuk,
Masscom,
PakavuNateleza,
buyegiboseba,
MFUKUNYUKU,
UmkhontoweSizwe,
anjnr,
Molemo,
jackline,
kamalamoo,
mjanja1,
EAT,
langei,
Escherichia Coli,
Muangila
Ni kikao cha kufanya maandalizi ya kupokea madaktari zaidi ya elfu moja kutoka nchi za India, China, Misri na Cuba iwapo ma-Dr watatekeleza tishio lao la kugoma.
Na ma-dr wageni wakifika tu,..... dr kilaza atakayeendelea na mgomo kibarua kinaota mbawa.
Yuko busy anapanda mlima Kilimanjaro!!
Ama kweli huyu jamaa ni kichwa cha Panzi,kama kweli anachungulia hapa na kutoka kapa then they guy is a nuttycase!Nasikia "mzee" huwa anachungulia humu! Mzee akili za kuambiwa changanya na zako!!
Kama hizi taarifa ni za kweli nitashangaa sana. Moshi na Dar sio mbali ki-hivyo, kwa nini rais asipande ndege aje kutatua mgogoro yeye mwenyewe?
Yuko busy anapanda mlima Kilimanjaro!!
Kama hizi taarifa ni za kweli nitashangaa sana. Moshi na Dar sio mbali ki-hivyo, kwa nini rais asipande ndege aje kutatua mgogoro yeye mwenyewe?[/QUOTE]
KAWAACHIA MAWAZIRI WAKE WATUMIE "BUSARA ZAO" KATIKA KUPATA MWAFAKA.........:-(
Vipi Je kutakuwa na Kikao cha Bunge cha Dhalura au Kanuni haziwaruhusu?
Kama hizi taarifa ni za kweli nitashangaa sana. Moshi na Dar sio mbali ki-hivyo, kwa nini rais asipande ndege aje kutatua mgogoro yeye mwenyewe?
Kwa mwendo huu wa kudharau taaluma na kuabudu siasa sidhani kama tutaweza kwenye Jumuiya ya Afrika Mashariki, nashauri tuachanane nayo mpaka mambo yatakapo eleweka.Yaleyale ya kupima upepo na kuipa kisogo taaluma na weledi.! Serikali hii?? Sijui itakumbukwa kwa lipi
Huyu Pinda yuko sawa kweli au? Mbona yeye na kabineti yake wasionyeshe mfano wa kuwa na nia ya dhati ya kuwasaidia wananchi? Kinacho tuangusha watanzania ni kutukuza siasa na kudharau taaluma."Waziri Mkuu, Mizengo Pinda amewasihi wataalamu hao wa afya kutochukua hatua hiyo kama kweli wana nia ya dhati ya kuwasaidia wananchi."
kutoka MWANANCHI
Kama Serikali inawatumikia kweli mabosi wake yaani wananchi wakiwemo Madaktari kwa nini isimuondoe
waziri wa Afya na Naibu wao kama Madaktari wanavyotaka?
Unaweza ku prove kama rais hakuchaguliwa na sisi ?
porojo saa ingine banaKuna tetesi nzito kuwa kikao cha baraza la mawaziri cha dharula usiku huu. JK mwenyewe yuko Moshi lakini kaagiza kifanyike chini ya uenyekiti wa Makamu wa Rais.
Agenda kuu ni mgomo wa madaktari na kuona njia ya kuwaondoa Dr. Mponda na Nkya bila kusababisha political fallout. Lile zengwe la Pinda la hapo awali ilikuwa ni danganya toto ili kupima joto ya maji.
Mawaziri wengi matumbo yako moto. Kuku weusi, kondoo na ng'ombe wameteketea kwa kasi jana na leo katika familia za mawaziri.
Hili ni la kuvunda halina ubani. Amewanyima madaktari mgomo umerudi, akiwapa, walimu wanagoma. Afanyeje?
jk hakika utakumbukwa. Anyway mi napita tu naelekea apolo hosp.
Akili yako inaonyesha kama umelambwa kibuti, tulia utapata mwingine tu kuliko kuweweseka ovyo.Jipange unaongea sana huna point