Pendael laizer
JF-Expert Member
- Jan 14, 2012
- 958
- 101
Baba mwanaasha usiongee kitu.
naona umebadilisha staili ya kuusaka umaarufu janvini..karibu
Kuna tetesi nzito kuwa kikao cha baraza la mawaziri cha dharula usiku huu. JK mwenyewe yuko Moshi lakini kaagiza kifanyike chini ya uenyekiti wa Makamu wa Rais.
Agenda kuu ni mgomo wa madaktari na kuona njia ya kuwaondoa Dr. Mponda na Nkya bila kusababisha political fallout. Lile zengwe la Pinda la hapo awali ilikuwa ni danganya toto ili kupima joto ya maji.
Mawaziri wengi matumbo yako moto. Kuku weusi, kondoo na ng'ombe wameteketea kwa kasi jana na leo katika familia za mawaziri.
Hili ni la kuvunda halina ubani. Amewanyima madaktari mgomo umerudi, akiwapa, walimu wanagoma. Afanyeje?
Kama hizi taarifa ni za kweli nitashangaa sana. Moshi na Dar sio mbali ki-hivyo, kwa nini rais asipande ndege aje kutatua mgogoro yeye mwenyewe?
Unaweza ku prove kama rais hakuchaguliwa na sisi ?

Are you paid to post stupi d stuff in the forum !?Kuna tetesi nzito kuwa kikao cha baraza la mawaziri cha dharula usiku huu. JK mwenyewe yuko Moshi lakini kaagiza kifanyike chini ya uenyekiti wa Makamu wa Rais.
Agenda kuu ni mgomo wa madaktari na kuona njia ya kuwaondoa Dr. Mponda na Nkya bila kusababisha political fallout. Lile zengwe la Pinda la hapo awali ilikuwa ni danganya toto ili kupima joto ya maji.
Mawaziri wengi matumbo yako moto. Kuku weusi, kondoo na ng'ombe wameteketea kwa kasi jana na leo katika familia za mawaziri.
Hili ni la kuvunda halina ubani. Amewanyima madaktari mgomo umerudi, akiwapa, walimu wanagoma. Afanyeje?
Unaweza ku prove kama rais hakuchaguliwa na sisi ?
Tik tak tik tak counting! Sitoshtuka nikisikia asubuhi wakiona kweli mgomo umeanza Mponda na Nkya watajiuzulu.

Mheshimiwa Mwanakijiji na wen gine wote with all respect hebu tuwe wakweli kidogo tu, hivi serikali ikianza kusalimu amri kwa watu nchi itatawalika kweli?
Tuongelee kama waungwana siyo kwa sababu tu hatutaki CCM au hatumataki JK, lakini ki ukweri serikali kwanza ilifanya makosa kuwakubalia madaktari, hakuna fani iliyo muhimu zaidi ya nyingine hapa duniani, kila fani ina umuhimu wake katika jamii, mgomo wa madaktari na mstakabadhi wa posho za wabunge, ilikuwa ni wakati muafaka wa serikali kufanyia marekebisho mishahara yote, kwani watu kwa miaka mingi walikuwa wakilalamika uwiano wa mishara ya ya Benki kuu, TRA ambapo kuna wakati karani wa BOT alikuwa anamzidi mshahara profesa wa chuo kikuu.
Laiki serikali yetu imeshindwa kutumia huu wakati na mwanya kufanya marekebisho, manasahau kuwa hawa madakatari mpaka kufikia hapo ni kazi nzuri iliyofanywa na walimu toka shule za msingi mpaka sekondari, huwezi kuataarishwa ukiwa chuo kikuu kama msingi ni mbovu hata hapo hafiki, sasa leo tunataka kuwadharau hawa wengine why?
Serikali lazima isimamame kidete kupinga huu upuuuzi
Mimi naona hao mawaziri ni kuwatoa kafara tu. Kosa si lao kosa ni policy. Tuweke policy hapa ya kutokuwa hospital binafsi na mawaziri wote watibiwe Mwananyamala au Ilala tuone kama hospital hazitabireshwa.
Kuna tetesi nzito kuwa kikao cha baraza la mawaziri cha dharula usiku huu. JK mwenyewe yuko Moshi lakini kaagiza kifanyike chini ya uenyekiti wa Makamu wa Rais.
Agenda kuu ni mgomo wa madaktari na kuona njia ya kuwaondoa Dr. Mponda na Nkya bila kusababisha political fallout. Lile zengwe la Pinda la hapo awali ilikuwa ni danganya toto ili kupima joto ya maji.
Mawaziri wengi matumbo yako moto. Kuku weusi, kondoo na ng'ombe wameteketea kwa kasi jana na leo katika familia za mawaziri.
Hili ni la kuvunda halina ubani. Amewanyima madaktari mgomo umerudi, akiwapa, walimu wanagoma. Afanyeje?
Kuna tetesi nzito kuwa kikao cha baraza la mawaziri cha dharula usiku huu. JK mwenyewe yuko Moshi lakini kaagiza kifanyike chini ya uenyekiti wa Makamu wa Rais.
Agenda kuu ni mgomo wa madaktari na kuona njia ya kuwaondoa Dr. Mponda na Nkya bila kusababisha political fallout. Lile zengwe la Pinda la hapo awali ilikuwa ni danganya toto ili kupima joto ya maji.
Mawaziri wengi matumbo yako moto. Kuku weusi, kondoo na ng'ombe wameteketea kwa kasi jana na leo katika familia za mawaziri.
Hili ni la kuvunda halina ubani. Amewanyima madaktari mgomo umerudi, akiwapa, walimu wanagoma. Afanyeje?
Vipi Je kutakuwa na Kikao cha Bunge cha Dhalura au Kanuni haziwaruhusu?