JF naona watu wanataka kuigeuza kijiwe.
MBONA MAGOGONI IKISHA GEUZWA kIJIWE HUSHANGAI???????
JF naona watu wanataka kuigeuza kijiwe.
wenzetu mna moyo kweli; wanaondolewa wana CCM wanarudishwa wana CCM, sera zile zile, chama kile kile, ilani ile ile, watu wale wale! Kama Kigoda akirudishwa si alishakuwemo humo? I'm really indifferent kwa vyovyote watakavyofanya!
Katika Bunge la Sasa, Kikwete ana kama watu 70 tu anaoweza kuwachagua kwenye baraza lake la mawaziri iwapo utawatoa
1. Wabunge wa kuteulia na Rais, viti maalum vya wanwake na wa Baraza la Wawakilishi
2. Wabunge CCM kutoka Zanzibar
3. Wabunge wa vyama vya Upinzani
3. Wabunge waliopo kwenye baraza la Mawaziri la Sasa
4. Wabunge waliokuwemo kwenye Mabaraza yaliyopita na
5. Wabunge aina ya Professa Maji Marefu na Lusinde
Kikwete hana choice, maana wabunge tuliowachaguwa wananchi kuwaingiza bungeni hawakidhi sifa za kuwa mawaziri
*Katiba mpya impe madaraka Rais ya kuchagua watu nje ya Bunge kushika nyadhifa hizo
Jk yule yule, safari nje kila siku zilezile!
Fedha.....Mwigulu
Uchukuzi.....Mwakyembe
Nishati......Makamba, (Kafumu...Naibu); means Malima OUT!
Tawala za Mikoa....Mwanri
Biashara....Nyarandu (Mhagama....Naibu)
Zakhia Meghji....Utalii
Afya.....(To be adervitised)
Kilimo......Kilango
Hutaki, unaacha....kama ngumu kumeza, unashushia na kiroba!!
Tuwavumilie mkuu,there's no other way tutafanya zaidi ya 2015. Au tuna option gani Nnyampala?
Waziri wa Afya ni Professa Maji Marefu na naibu wake ni Livingstone Lusinde...confimed.
Nasikia anakuja na mkakati wa kinga wa ajili ya afya
hii nzuri maana hatutachezewa hovyohovyo na matumizi ya ungo,fisi yatapitishwa bungeni, kwa upande wa usafiri tutpeta