Baraza la Mawaziri Kutangazwa Leo...Tetesi za Wanaotajwa Sura Mpya...

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,146
13,216
Nasikiliza Clouds sasa hivi kwamba Baraza La Mawaziri huenda likatajwa muda wowote leo hii na baadhi ya wanaotajwa katika sura mpya ni David Mwakyusa, Anne Kilango, Jenista Mhagama, Pindi Chana, Abdallah Kigoda, na Dalali Kafumu

My Take: staili ya JK si kama ya Mkapa, maana hata tetesi za kuvunjwa kwa Baraza zilishauwa hewani.. ngoja 2one
 
Nasikiliza Clouds sasa hivi kwamba Baraza La Mawaziri huenda likatajwa muda wowote leo hii na baadhi ya wanaotajwa katika sura mpya ni David Mwakyusa, Anne Kilango, Jenista Mhagama, Pindi Chana, Abdallah Kigoda, na Dalali Kafumu

My Take: staili ya JK si kama ya Nkapa, maana hata tetesi za kuvunjwa kwa Baraza zilishauwa hewani.. ngoja 2one

Kama Hao ndiyo wapya Please bora awaache hao waliopo!Tumwile mwa kihalaaaa

Naomba hii iweze ni tetesi na siyo news coz nahisi vichomi na misuli ya kichwa imeanza kubana!
 
Kumbe hata gazeti la CHAMA UHURU (30/4/2012) Limetaarifu habari hii
 
Fedha.....Mwigulu
Uchukuzi.....Mwakyembe
Nishati......Makamba, (Kafumu...Naibu); means Malima OUT!
Tawala za Mikoa....Mwanri
Biashara....Nyarandu (Mhagama....Naibu)
Zakhia Meghji....Utalii
Afya.....(To be adervitised)
Kilimo......Kilango

Hutaki, unaacha....kama ngumu kumeza, unashushia na kiroba!!
 
Nasikiliza Clouds sasa hivi kwamba Baraza La Mawaziri huenda likatajwa muda wowote leo hii na baadhi ya wanaotajwa katika sura mpya ni David Mwakyusa, Anne Kilango, Jenista Mhagama, Pindi Chana, Abdallah Kigoda, na Dalali Kafumu

My Take: staili ya JK si kama ya Nkapa, maana hata tetesi za kuvunjwa kwa Baraza zilishauwa hewani.. ngoja 2one

siyo lazima akiondolewa mtu wa Kilimanjaro eti nafasi yake ijazwe na mtu wa huko; potelea mbali>kama ni kufa CCM ife: TUMEWACHOKA MAGAMBA. Watu wa Same songa mbele na Operesheni ng'oa CCM hata kama Kilango akiwa Waziri.
 
Nasikiliza Clouds sasa hivi kwamba Baraza La Mawaziri huenda likatajwa muda wowote leo hii na baadhi ya wanaotajwa katika sura mpya ni David Mwakyusa, Anne Kilango, Jenista Mhagama, Pindi Chana, Abdallah Kigoda, na Dalali Kafumu MA'MKWE

My Take: staili ya JK si kama ya Nkapa, maana hata tetesi za kuvunjwa kwa Baraza zilishauwa hewani.. ngoja 2one

Kama kawa kujuana saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaana kafumu, kigoda kunanini......anatoka nafuu anaingia maututi.
 
wenzetu mna moyo kweli; wanaondolewa wana CCM wanarudishwa wana CCM, sera zile zile, chama kile kile, ilani ile ile, watu wale wale! Kama Kigoda akirudishwa si alishakuwemo humo? I'm really indifferent kwa vyovyote watakavyofanya!
Na Mambo yale yale!
 
Hapo kwenye RED, najisikia kichefuchefu kuhusu huyu mtu kwavile nashindwa kumtofautisha kati yake na Mkapa kwenye suala zima la ubinafsishaji.....hapo kwenye BLUE, hakuna jinsi, inabidi tu umeze hivyo hivyo vinginevyo ni kujitafutia magonjwa ya moyo bure....none of us, at least kwa sasa can change it otherwise tuwaombe wajeda watusaidie kwa hilo!!!
 
Fedha.....Mwigulu
Uchukuzi.....Mwakyembe
Nishati......Makamba, (Kafumu...Naibu); means Malima OUT!
Tawala za Mikoa....Mwanri
Biashara....Nyarandu (Mhagama....Naibu)
Zakhia Meghji....Utalii
Afya.....(To be adervitised)
Kilimo......Kilango

Hutaki, unaacha....kama ngumu kumeza, unashushia na kiroba!!
Ha ha ha haa, Mwigulu? Huyu anayeshindwa hata kujieleza hapa JF? Kama ndo hivyo bora baraza libaki hilohilo lililopo tu. Naona CCM ishaishiwa man power hivi sasa. Mtaji mzuri upo CHADEMA kuliko hata CCM kwenyewe. Sioni kipya katika orodha hiyo. Eti hadi Kilango, mnafiki huyo?
 
Kilango apate kwa heshima ya nani? Yule hafanyi kazi kwa matakwa ya umma ila kwa kutafuta nafasi kwa wakubwa. Sijasahau alivyoikanyaga mada ya katiba mpya, huyu akipata uwaziri atawazika watanzania
 
Fedha.....Mwigulu
Uchukuzi.....Mwakyembe
Nishati......Makamba, (Kafumu...Naibu); means Malima OUT!
Tawala za Mikoa....Mwanri
Biashara....Nyarandu (Mhagama....Naibu)
Zakhia Meghji....Utalii
Afya.....(To be adervitised)
Kilimo......Kilango

Hutaki, unaacha....kama ngumu kumeza, unashushia na kiroba!!
Nape unampa nafasi gani hapo?
 
kama ndo tetesi za majina hayo basi hakuna jipya lolote sioni mwenye uwezo kati ya hayo majina.
kigoda, mwakyusa etc walikuwemo miaka mingi iliyopita na hatukuelezwa kwa nini walitolewa na yamkini hatujaua kwa nini wanarudishwa kama ni kweli, uteuzi wa baraza nao uingie kwenye katiba
 
Back
Top Bottom