Baraza la Mawaziri Kutangazwa Leo...Tetesi za Wanaotajwa Sura Mpya...

Fedha.....Mwigulu
Uchukuzi.....Mwakyembe
Nishati......Makamba, (Kafumu...Naibu); means Malima OUT!
Tawala za Mikoa....Mwanri
Biashara....Nyarandu (Mhagama....Naibu)
Zakhia Meghji....Utalii
Afya.....(To be adervitised)
Kilimo......Kilango

Hutaki, unaacha....kama ngumu kumeza, unashushia na kiroba!!

Afya ...... JamboJema
 
sasa hilo ndilo baraza jipya! sasa Anna kilango si walewale,ndio maana hata hakuchangia chochote.
 
Mimi nashangaa watu mnavopredict vitu ambavo havipo! kwanza jk mwenyewe au kupitia kurugenzi ya habari umesikia akisema atabadili baraza? na hata akibadili Tatizo ni mfumo wote upo corrupt! kumbukeni mawaziri hawa wana manaibu wana makatibu wakuu, wana manaibu katibu wakauu, wana wakurugenzi,kuna wahasibu, wana wakuu wa idara! hivo ukiondoa waziri hujafanya chochote shina bado lipo! cha maana tujiweke tayari ili 2015 au kabla ya hapo kuing'oa ccm na mizizi yake yote nunatadio nchi itaenda sawa!!


Ni kweli kama ulivyosema hakuna chochote kitachobadilika kama CCM bado ni ileile. Hakuna sababu ya kuwa na mategemeo ambayo hayapo. Kwanza kama ni kubadili sura za mawaziri sio agenda ya serikali ya CCM. Ni kwamba wameshinikizwa na presurre toka upinzani na inawezekana na wafadhili. Ingekuwa ni uamuzi mbona mawaziri wengi wangekuwa washabadilishwa toka zamani maana matatizo yaliyolitia taifa hili hasara hayajaanza leo na chanzo chake si mawaziri hawa bali ni mfumo unaowapa mwanya wa kufanya haya. Namna pekee ya kuondokana na matatizo yote ni CCM kuwa chama cha upinzani basi. Hapo watakaa wajifunze kuwa tuko katika dunia ya sayansi na teknolojia. Watanzania kama tunataka kuondokana na kudolola kwa uchumi, rushwa na ubadhirifu, ubinafsi wa viongozi wa umma, kutowajibika, uvivu, uonevu, unafiki, kushuka kwa elimu, miundo mbinu mibovu na kuchagua chama makini come 2015 na kuwaacha CCM hata kama wagombea wao watakuwa ni wazuri machoni maana hatutafiti mrembo wa kutuwakilisha kwenye mashindano bali viongozi waadilifu, wanyenyekevu, waaminifu na wachapakazi na wenye hofu ya Mungu
 
Kuna watu makini ambao siku zote hawasikiki kwasababu si wanafiki na si wapiga debe.....hawa ndo wanastahili kuwa kwenye baraza la mawaziri....yaani watendaji na si wanasiasa......mfano: mi kwenye nafasi ya waziri/naibu waziri wa afya ningependelea saaana awemo mheshimiwa sana mmoja anaeitwa Dr.Seif Rashid.......huyu mtu makini sana ni mbunge wa Rufiji....huyu ndie aliyempiga chini ubunge Prof.Idrisa Mtulya kule Rufiji.....baada ya Mtulya kuwa mbunge kwa miaka mingi sana...lakini kwasababu ya utendaji wake watu wa Rufiji waliokuwa nyuma sana kimaendeleo waliamua kumpa huyu jamaa ubunge....kwa kweli Dr.Seif namkubali.....ni mtu very humble....very down to earth individual....msomi na mtu asiye na tamaa na si mwizi.......a very good candidate kuwa waziri TZ.......Kwa wale tuliopata kufanya nae kazi wakti akiwa Red Cross TZ kama mkurugenzi wa afya..Health Director tunamfahamu kwa utendaji wake.....huyu jamaa angeiweza saaana wizara ya afya ambako alisshawahi kufanya kazi kabla ya kwenda Red cross.....ana uzoefu mkubwa sana kwenye mambo ya health disaster management......uzoefu aliupata na kuutumia akiwa rer cross TZ.......hata wahisani wanamtambua Dr.Seif...lakini kwa siasa za maji taka za TZ watu makini hivi ni vigumu sana kuonekana......wanaoonekana ni watoto wa mjini wa juzi vilaza kama kina Kigwangala wanaojipendekeza kwa watawala.......I believe kama kuna mtu anamshauri vizuri JK.....kweli Dr.Seif anaweza kuwa combination nzuri saana haswa akifanya kazi na mtu kama Prof.Mwakyusa pale wizara ya afya......Just my opinion.....
 
Pinda atakubali kuendelea na uwaziri Mkuu wake? Mimi naona nafasi hii haimfai kama Rais wake ni huyu JMK. Anamdhalilisha mno. Pinda mwenyewe sio mwizi lakini hana analofanya kuzuia wizi kwa mawaziri. Hata ile kukemea tu anashindwa. Ni vizuri naye akaondoka kistaarabu kwa kuwa uhakika wa pensheni ya uwazirimkuu iko palepale. Nafahamu hitaji la kikatiba lililopo kwa nafasi yake hii. Gharama za yeye kuendelea kushika nafasi hii ni kubwa zaidi kuliko aking'atuka leo.
 
Ina maana ukisema sema bungeni kwa jazba basi unapata uwaziri. Lakini historia inawapa nafasi manake wasemaji wote wawe wakweli ama wa.kujisemea tu ilisikike kwa kuishtumu serikali wamekuwa wanavushwa mipaka toka back benchers kweny front. Nakumbuka Mbunge wa Lupa wa G 55.


eh SI UNAZIBWA MDOMO NA WEWE!!!!
 
Nichofiri ni kwamba waliopita wamevurunda lkn bora tuwaache wamalizie muda wao halaf tuwaburuze mahakamani. Kwa kuwa wanakuja watavurunda zaid na tutaziweka mahakama zetu busy bure wakati tunajua nn kitatokea. Ila kwa kuwa kaka mkubwa kaamua poa tu kwa siku ya kufa ikifika hata ujifungie ndani sababu ya wewe kufa itapatikana tu. utasukumwa au ukisinzia utasinzia jumla. R.I.P CCM.
 
Pinda atakubali kuendelea na uwaziri Mkuu wake? Mimi naona nafasi hii haimfai kama Rais wake ni huyu JMK. Anamdhalilisha mno. Pinda mwenyewe sio mwizi lakini hana analofanya kuzuia wizi kwa mawaziri. Hata ile kukemea tu anashindwa. Ni vizuri naye akaondoka kistaarabu kwa kuwa uhakika wa pensheni ya uwazirimkuu iko palepale. Nafahamu hitaji la kikatiba lililopo kwa nafasi yake hii. Gharama za yeye kuendelea kushika nafasi hii ni kubwa zaidi kuliko aking'atuka leo.

Anaogopa POLLONIUM 10, nasikia ipo sokoni ..hii ni kali kuliko ile ya Mwakyembe !
 
Watu hawajui wanachokitaka ktk hili.

Na hii publicity ndio inatia kichefuchefu zaidi.....ccm wote wameoza. Kati ya wabunge wa ccm (ambao ni zaidi ya 340) Kikwete hana wabunge 2 wasafi. Kwa mantiki hiyo lazima atachagua miongoni mwa wale wale waliooza, NI KWANINI HILO HALIELEWEKI?
 
Kuna watu makini ambao siku zote hawasikiki kwasababu si wanafiki na si wapiga debe.....hawa ndo wanastahili kuwa kwenye baraza la mawaziri....yaani watendaji na si wanasiasa......mfano: mi kwenye nafasi ya waziri/naibu waziri wa afya ningependelea saaana awemo mheshimiwa sana mmoja anaeitwa Dr.Seif Rashid.......huyu mtu makini sana ni mbunge wa Rufiji....huyu ndie aliyempiga chini ubunge Prof.Idrisa Mtulya kule Rufiji.....baada ya Mtulya kuwa mbunge kwa miaka mingi sana...lakini kwasababu ya utendaji wake watu wa Rufiji waliokuwa nyuma sana kimaendeleo waliamua kumpa huyu jamaa ubunge....kwa kweli Dr.Seif namkubali.....ni mtu very humble....very down to earth individual....msomi na mtu asiye na tamaa na si mwizi.......a very good candidate kuwa waziri TZ.......Kwa wale tuliopata kufanya nae kazi wakti akiwa Red Cross TZ kama mkurugenzi wa afya..Health Director tunamfahamu kwa utendaji wake.....huyu jamaa angeiweza saaana wizara ya afya ambako alisshawahi kufanya kazi kabla ya kwenda Red cross.....ana uzoefu mkubwa sana kwenye mambo ya health disaster management......uzoefu aliupata na kuutumia akiwa rer cross TZ.......hata wahisani wanamtambua Dr.Seif...lakini kwa siasa za maji taka za TZ watu makini hivi ni vigumu sana kuonekana......wanaoonekana ni watoto wa mjini wa juzi vilaza kama kina Kigwangala wanaojipendekeza kwa watawala.......I believe kama kuna mtu anamshauri vizuri JK.....kwlei Dr.Seif anaweza kuwa combination nzuri saana haswa akifanya kazi na mtu kama Prof.Mwakyusa pale wizara ya afya......Just my opinion.....

Tueleze ameifanyia nini Rufiji? sio bla ba bla unampigia debe kwa JK?
 
Nasikiliza Clouds sasa hivi kwamba Baraza La Mawaziri huenda likatajwa muda wowote leo hii na baadhi ya wanaotajwa katika sura mpya ni David Mwakyusa, Anne Kilango, Jenista Mhagama, Pindi Chana, Abdallah Kigoda, na Dalali Kafumu

Mhh, kilaza jenista naye awe waziri! Lazima nchi hii ikombolewe.
 
clouds fm has never been reliable source.
Hata mimi nilikuwa nasikiliza, mara sugu waziri wa michezo, mara mwakyembe waziri wa fedha, mara malima waziri kamili wa nishati, yaani ni udaku mtupu.
Wao wanasoma gazeti la uhuru kama source ya kutengeneza umbea
nao walikua wananukuu gazeti gamba
 
Back
Top Bottom