wenzetu mna moyo kweli; wanaondolewa wana CCM wanarudishwa wana CCM, sera zile zile, chama kile kile, ilani ile ile, watu wale wale! Kama Kigoda akirudishwa si alishakuwemo humo? I'm really indifferent kwa vyovyote watakavyofanya!
KWa mtazamo wangu CCM imeishiwa waadirifu siku nyingi ni kuziba viraka kwa kutumia kiraka kingine tena kibovu.....ingekuwa hivi ningekuwa na imani na serikali
1.W/mkuu........................Magufuri
2.Fedha/uchumi ................Zitto
3.Sheria na katiba..............Lissu
4.Ardhi... .........................Mdee
5.Ujenzi............................Mwakyembe
6.nje................................membe
7.ulinzi..............................Mbowe
8.H/michezo.......................Sugu
9.maliasili/Utalii...................Lembeli
10.Afya/ustawi wa jamii.......Mwakyusa( Japo simwamini sana)
11.Tamisemi.......................Mnyika
12.Elimu............................Mwesingwa Baregu, naibu Exavel Rwaitama
Mkuu nashauri Rais wetu kwenye baraza Jipya la mawaziri wa wawemo watu kutoka vyama vya upinzani:-
Namtakia kazi njema Rais wetu.
- Waziri Mkuu Mh Zito Kabwe
- Waziri wa fedha Mh John Cheyo
- Waziri wa ujenzi Mh Mdee
- Waziri wa sheria na katiba Mh Tundu Lissu
- Waziri wa mambo ya ndani Mh Ana Makinda (Spika)
- Waziri wa mambo ya nje Mh Vicent Nyerere
- Waziri wa Afrika Mashariki Mh Hamad Rashid
JK anajua kufunika kombe ili mwanaharamu apite. Baada ya kumtoa kwenye kinyang'anyiro cha uraisi mzee malecela, na kumnyima ubunge wa EALA William, itakuwa vema kumpa Mama Kilango japo unaibu waziriNothing new, anne kilango? kigoda?
Mkuu nashauri Rais wetu kwenye baraza Jipya la mawaziri wa wawemo watu kutoka vyama vya upinzani:-
Namtakia kazi njema Rais wetu.
- Waziri Mkuu Mh Zito Kabwe
- Waziri wa fedha Mh John Cheyo
- Waziri wa ujenzi Mh Mdee
- Waziri wa sheria na katiba Mh Tundu Lissu
- Waziri wa mambo ya ndani Mh Ana Makinda (Spika)
- Waziri wa mambo ya nje Mh Vicent Nyerere
- Waziri wa Afrika Mashariki Mh Hamad Rashid
Fedha.....Mwigulu
Uchukuzi.....Mwakyembe
Nishati......Makamba, (Kafumu...Naibu); means Malima OUT!
Tawala za Mikoa....Mwanri
Biashara....Nyarandu (Mhagama....Naibu)
Zakhia Meghji....Utalii
Afya.....(To be adervitised)
Kilimo......Kilango
Hutaki, unaacha....kama ngumu kumeza, unashushia na kiroba!!