Baraza la madiwani Arusha lashindwa kukaa tena

Mwan mpambanaji

JF-Expert Member
Apr 3, 2008
482
131
Kikao cha baraza la madiwani arusha cha kupitisha bajeti kimeshindwa kukaa baada ya madiwani wa chadema kukataa kurejista,hali iliyofanya akidi kutotimia
Sheria inataka bajeti ipitishwe na theluthi mbili
 
Tunamsubilia Pinda Alhamisi ijayo ama kuokoa Arusha au Kuingiza vitani pengine nchi nzima....
 
Aaah si waipitishe tu kama walivyofanya kwa uchaguzi wa Meya, kwani tatizo nini?
 
Kama koram ilitosha kumchagua Meya, kwanini sasa isitoshe kupitisha bajeti? Kwa kweli wataonja joto ya jiwe!!! Njia ya muongo ni fupi!!!
 
Hao madiwani tumewachagua watutumikie, siyo kufanya usanii kwenye masuala muhimu.
Huo ni uhuni wanatufanyia sisi wapigakura wao.
Sasa tumewaelewa. Hatutadanganyika tena kuwachagua.
 
Kikao cha baraza la madiwani arusha cha kupitisha bajeti kimeshindwa kukaa baada ya madiwani wa chadema kukataa kurejista,hali iliyofanya akidi kutotimia
Sheria inataka bajeti ipitishwe na theluthi mbili

Hii ni habari njema kwa Watumishi wa Halmashauri, watasheherekea ili waendelee kuzitafuna. Ni madiwani wachache tu (bila kutaja vyama) wanaoweza kuangalia beyond their noses.
 
Hii ni habari njema kwa Watumishi wa Halmashauri, watasheherekea ili waendelee kuzitafuna. Ni madiwani wachache tu (bila kutaja vyama) wanaoweza kuangalia beyond their noses.
Kwa hali ilivyo kwa sasa mtumishi anaekula pesa ya halimashauri ya Arusha basi ana roho ngumu kama ya paka maana haijulikani kesho nani atakuwa meya anawasiombe awe kutoka CDM...
 
Kishongo,
Asante kwa post yako. Napenda kufahamu
i) wewe na nani "hamtadanganyika tena"?
ii) Mlikutanana wapi kuweka misimamo huo?
iii) Nakuhakikishia wananchi wa Arusha Msimamo wao ndio huo wa Madiwani wa Chadema. Kuna uhuni gani mkubwa zaidi ya "kupindisha sheria kama walivyofanya Serikali na CCM. Ni swala la muda yatawatoka puani. Kama bajet inashindikana kwa ajili ya Quorum watrtueleze quoram ya uchaguzi ilitoka wapi. Ndiyo maana chadema tulikataa option ya kwenda mahakamani. Sababu ni kuwa uchaguzi huo haukuwepo kwa kuwa ulikuwa "null and void 'ab initio'".
Hivyo jadili kwa hoja zaidi kuliko ushabiki tu.

Hao madiwani tumewachagua watutumikie, siyo kufanya usanii kwenye masuala muhimu.
Huo ni uhuni wanatufanyia sisi wapigakura wao.
Sasa tumewaelewa. Hatutadanganyika tena kuwachagua.
 
  • Thanks
Reactions: Wed
Pinda angeitisha uchaguzi huru jamani kashshe iishe kwa nini wanaziba masikio na pamba,wanataka kuifanyaje Geneva of Africa
 
Wapitishe tu,kumbe wanajua sheria hawa majuha wa ccm?mbona meya walimchagua na idadi hiyo?peoplesssssssssssssssssssssssssss powerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr, Ule mziki wa Tegeta jana tutasambaza nchi nzima kwa wanyonyaji wote ............:rip:CCM.
 
This is very interesting.What a contradiction!! You can fool some people for some time but you cant fool all the people all the time...
 
Dr Silaa(P.hD) daktari wa Ukweli umenena. Achana na wahuni wa CCM, wanabisha na hoja awana. kama walikuwa na coram ya kutosha kuchagua meya , kwanini ya budget awana? na Budget wapitishe.
 
Hao madiwani tumewachagua watutumikie, siyo kufanya usanii kwenye masuala muhimu.
Huo ni uhuni wanatufanyia sisi wapigakura wao.
Sasa tumewaelewa. Hatutadanganyika tena kuwachagua.

Hivi ulipiga kura kweli wewe?
mbona siku ya kujiandikisha ulikua umelewa hadi unabebwa kwenye machela?
mbona siku ya kupiga kura uliamka saa7 mchana,na ulipofika kituoni kwakua hukujiandikisha hukupiga kura?
au unataka kutoe identity yako yaheee?
 
Back
Top Bottom