Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 54,015
- 43,157
Wanaukumbi.
Mtu anaewaminisha mkaandamane siku ya X-Mass anawaita anadhihaki Jeshi
Mnadhani Jeshi halioni hizo post za wanaharakati
Nendeni mkaliwe vichwa muje muitwe mashujaa huku maiti zenu zikipostiwa na Mange na Maria Sarungi, cha kufurahisha haya maandamano yote TEC wameyapa baraka hawajawahi kukumea na wakitaka waachwe waandamane sasa wanataka kuandamana siku ya X-Mass.
Waumini wa Kikitisto siku ya X-Mass mmetangaziwa maandamano bar zote zitafungwa na Makanisa yatafungwa pombe
Juzi ilikuwa ni ushuhuda wa ukomavu. Vijana walikataa kauli za kejeli na kuchagua utulivu badala ya vurugu, wakithibitisha kuwa hawatachukua nafasi ya zana za kisiasa zisizo na faida kwa taifa.
Tunawachia TEC na Mangekimbambi.
Uzuri Rais Samia kaweka wazi siku yoyote njoone na maandamano yenu ya vurugu serikali imejipanga.