Baraza la Kiislamu la Maadili lalaani kuzomewa Dk Magufuli

Hii hoja ya kuingia Ubungo Terminal imeanzia mbali kidogo lakini wenye akili zao wakaipuuza kwa sababu haina mashiko wala mantiki kwa somo lililopo mezani.

Naomba kuuliza, T.Shs. 200/= za kuingia Ubungo Terminal ni nauli?

Kinachozungumziwa hapa ni nauli tena ya Pantoni Kigamboni na siyo viingilio vya kuingilia sijui wapi; mtaanza pia kuhoji na sadaka tunazotoa sijui wapi ni za nini. Jamani, lets use common sense.
Unajua ukibishana na kenge, utaonekana unamuonea wifu kwa vile ana magamba..........

Labda tuwaulize hwa die hard wa Maghufuli, mbona hawatolei mfano wa parking ya Julius Nyerere International Airport.........kuingia na kumshusha mtu tu, ni Sh 500, ukikaa zaidi ya 1hr/2hr, charge inaongezeka to 1,000/=, Je mbunge wa eneo hilo anaona ni sawa?

Hilo linaitwa swali la kijinga, SAWA NA WANAOULIZA KIINGILIO CHA UBUNGO BUS TERMINAL NA NAULI YA KIBAHA TO UBUNGO.

NB: Sio kweli kwamba nauli ya Kiluvya Ubungo ni sh 900. Nauli ya Kongowe - Ubungo ni sh 900, hiyo ya Kiluvya Ubungo iweje iwe 900??

strong point!

kwa kweli Dr. Lock ana point ya maana kupandisha nauli, wakazi wa kigamboni ndio wao pekee wanajiona masikini kwenye sehemu yao basi waende kwingine wakalipe 1200 au waende kule kwembe, bunju wakaulizie nauli ya kufika Bunju Mabwe Pande ndio wakazomee. Kwa hili Mnyika alikurupuka Mwacheni Dr. Lock ajenge nchi achana na wapiga majungu wanaoachia wakina Zungu, Tambwe na Masaburi waendeleee kula pesa za jiji chafu la inzi na mitaro ya ma...v. badala ya kushughulikia uchafu wao wanampandia Dr.

Kuna jambo moja ambalo liko wazi juu ya issue ya kupanda kwa nauli za kivuko ambalo kila mmoja wetu analitambua..nalo ni kuwa GHARAMA ZA UENDESHAJI ZINABADILIKA (kupanda)! ila mambo ya msingi nionavyo mimi ni haya;

i. Mh.J.P Magufuli amepandisha nauli kwa kuzingatia sheria husika,so nionavyo itakua none sense yeye awe kigeugeu (kama anavyotakaiwa na baadhi ya watu tena kirahisi tu kwa maneno ya mezani) ashushe gharama,labda wanaopinga kupanda bei pia watoe msingi wa kushusha,mimi nimekaa kigamboni kwa muda sasa,before bei kupanda kuna kipindi zilipandishwa ila wananchi waliomba zisitishwe kwa muda so hii si first time na wala sidhani kama ni maamuzi ya kukurupuka..ila kama kuna majadiliano ya namna gani hizi cost zinaweza punguzwa yanaweza kufanywa ila SI KULAZIMISHA KUVUNJA UTARATIBU WA KUONGEZA BEI.

ii.Uamuzi wa wabunge wa DSM kuita media kwa issue hii unaweza kuwa ni ''more strategic ki siasa'' and two way traffic na usichukuliwe moja kwa moja kuwa una lengo straight la kuwatetea wananchi,issue yenyewe ingeweza kuwa round table negotiation kati ya wabunge na waziri husika kwa kutumia vikao husika ila swala hili limepewa msukumo mkuubwa! tuwe makini wananchi tusiburuzwe,now days kuna cheap popularity ambazo wanasiasa wetu hutafuta kupitia migongo ya shida zetu.

iii.Mh Waziri kutoa kauli tata inaweza kuwa ishu ya kawaida kutokana na scene ilivokua na hata yeye asingeona tatizo ku apologize ila tatizo ni watu walioko nyuma ya jambo na jinsi linavyopewa msukumo,ukweli utabaki palepale.Labda niulize wakati alipoikataa ile barabara ya Kilwa road kwa mara ya kwanza mbele ya balozi wa Japan aliyemaliza muda wake si hata serikalini kuna watu tunawajua tena wa juu walimpinga? mbona juzi akitangaza kuwa itajengwa upya nao walifurahia?
Tufike mahali tuache fitna,unafki na kushindwa kufikiri,tukienda hivi hatujengi nchi tutaishia kila siku kuandika SERA nyingi nzuri utekelezaji sifuri.Tumwache Mh.JP Magufuli atuhudumie kazi tuliyompa.

Lakini ni Magufuli huyu huyu aliewakataza halmashauri ya wilaya ya Sengerema kutoza nauli ya kivuko!

Ni kama makanisa tu yalivyokuwa utitiri hasa mbeya kuna makanisa mengi sana!sheria inaruhusu mkiwa kumi tu mnaweza kuanzisha kanisa!

Ameuliza mna mabalaza mangapi, wewe unaleta hoja za madhehebu. Sidhani kama akili yako ipo vizuri. Jaribu kuushirikisha ubongo kabla ya kuropoka ropoka tu.. aaarg

Kuna umbali gani kati ya nje ya stendi na ndani ya stendi ya Ubungo hadi tulipe Tshs. 200/=?

Damn..Acha Kupotosha wewe...Inajulikana fika kwamba msafiri anayetumia Ubungo Bus Terminal halipi kiingilio chochote kile iwe wakati wa kusafiri au wa kurudi kutoka safari,,kwani tayari anakuwa ana ticket yake..Ila kwa watumiaji wengine ambao ukiangalia si wa lazima sana kama wasafiri wengine ndio wanatakiwa wachangie hiyo Tshs 200/= Kwa mwendo huu itafika mahala mtahoji kuhusu hata viingilio vya mechi Uwanja wa Taifa (Kwamba kwa nini Mtemvu yuko kimya) Kiingilio cha Movie Mlimani City (Mbona Mnyika hasemi lolote).
We should be eazy to learn on how to 2differentiate matters.

CCM wakizidiwa hukimbilia msikitini kuomba watoe matamko, Yatawamaliza hayo matamko ya kishetani, watu hawajui 2mara2 ni ngapi wanaona wamwesema kweli! Kivuko ni daraja nani analipia anapovuka mto Ruvu? Kingine Kivuko kile kinatembea hata kilometa moja haifiki wanatoza 200 why? 1Km ni shs 30 hi ndo bei ya nauli kwa mtu nenda kaulize Euwra.

Nimesitushwa na taarifa hii ya hilo "Baraza la Kiislamu la Maadili" kulaani kuzomewa Dk Magufuli. Nadhani huyo sheikh angejiuliza kwanza Dk Magufuli alisema nini mpaka watu wamzomee? Hivi anaona ni katika maadili kiongozi wa umma kama Dk Magufuli kuwaambia watu wanaopinga nauli hiyo mpya "asiyeweza kulipa nauli na apige mbizi"?

Hata huko kulinganisha nauli nyingine zinazolipwa na hiyo ya wakazi wa Kigamboni si sawa kwani wakazi hao hukaa pale pale ferry tu na kusubiri wavuke kivuko? Hawaendi zaidi ya hapo? Mimi nadhani hmasheikh kama hawa hutumika na wanasiasa kama kitambaa cha kufutia jasho tu. Ukweli unabaki pale pale Dk Magufuli alikosea ndiyo maana hata chama chake CCM mkoa wa Dar es Salaam kimemtaka aombe radhi.

Nampa sheiikh huyo na hilo Baraza lake ushauri wa bure. Kabla hujaruka pima upana wa mto! Waanza na kumkemea Magufuli kwanza kwa kauli yake isiyo ya kimaadili angalau lakini huku kuwa watetezi wa mkosaji wa maadili, mmh, ni kioja. Jamani mnatuaibisha waislamu.

no wanahoji vitu vya msingi msiwadharau,mfano hiyo hoja ya mnyika kuacha kuwatetea wapiga kura wake wa kiluvya na nauli ya shs 900 mpaka ubungo tu hapo hatuhesabu watakayolipa kufika kariako au mwenge au posta,badala yake anaenda kupanda panton,ubungo kuna panton?pia kwanini mnyika hatujawahi kumsikia akipinga kiingilio cha pale ubungo bus terminal?kwanini anaonekana kuguswa zaidi na watu wa kigamboni?hapa kuna kitu kimejificha,nadhani ni uendeshaji wa kile kivuko ndio unawaumiza kichwa,kuna mtu anawasukuma wabunge wetu wampe kivuko akiendeshe!
,,,,,wafikiri kivingine sasa hao..tunataka kuwaona wakija kwenye vyombo vya habari na miradi ya kijamii..sio kuwatetea ccm

Strong point? Sijui ni kigezo gani katumia huyo Shehe kulinganisha nauli ya Kiluvya na Ferry! Ni umbali? Ni aina ya usafiri? au ni kitu gani alichotumia kufikia conlusion yake?

Kiluvya - Ubungo ni zaidi ya 30km wakati Kivukoni A - Kivukoni B haifiki 1km anyway let's assume its 1km.

Hesabu rahisi (Nauli kwa kilometa):

Kiluvya - Ubungo: 900/30 = T.Shs. 30/km.

Kivukoni A - Kivukoni B: 200/1 = T.Shs. 200/km.

Kwa akili yako na ya Shehe ni nauli ipi ghali? Kiluvya-Ubungo au Kivukoni? Jamani, just use common sense! Otherwise, tuambiwe ni kigezo kipi kimetumika. Naamini wananchi wakiambiwa kwa busara na ufafanuzi wa kueleweka hata kama itakuwa 10,000/= bado wataelewa na sio kwenda kuwatusi.
hivi ni kweli unaupeo mdogo kiasi hicho au umepindisha kwa makusudi? huyo sheikh kalinganisha kati ya mbagala----mwenge na kiluvya--- posta. sasa ungelinganisha umbali wasehemu hizi mbili. probably you are a poor thinker.

CCM wakizidiwa hukimbilia msikitini kuomba watoe matamko, Yatawamaliza hayo matamko ya kishetani, watu hawajui 2mara2 ni ngapi wanaona wamwesema kweli! Kivuko ni daraja nani analipia anapovuka mto Ruvu? Kingine Kivuko kile kinatembea hata kilometa moja haifiki wanatoza 200 why? 1Km ni shs 30 hi ndo bei ya nauli kwa mtu nenda kaulize Euwra.

Ha ha ha ha ha ha! In fact wala hakitembei; kinageuka tu kishafika!

Strong point? Sijui ni kigezo gani katumia huyo Shehe kulinganisha nauli ya Kiluvya na Ferry! Ni umbali? Ni aina ya usafiri? au ni kitu gani alichotumia kufikia conlusion yake?

Kiluvya - Ubungo ni zaidi ya 30km wakati Kivukoni A - Kivukoni B haifiki 1km anyway let's assume its 1km.

Hesabu rahisi (Nauli kwa kilometa):

Kiluvya - Ubungo: 900/30 = T.Shs. 30/km.

Kivukoni A - Kivukoni B: 200/1 = T.Shs. 200/km.

Kwa akili yako na ya Shehe ni nauli ipi ghali? Kiluvya-Ubungo au Kivukoni? Jamani, just use common sense! Otherwise, tuambiwe ni kigezo kipi kimetumika. Naamini wananchi wakiambiwa kwa busara na ufafanuzi wa kueleweka hata kama itakuwa 10,000/= bado wataelewa na sio kwenda kuwatusi.

Kwa hesabu zako hapo juu umeweka into the consideration kwamba consumption ya mafuta kwa gari na kivuko ni tofauti?

Kuligeuza tu hilo boti liondoke waweza kuta limekata wese la km 10 za gari ya kawaida!

hivi ni kweli unaupeo mdogo kiasi hicho au umepindisha kwa makusudi? huyo sheikh kalinganisha kati ya mbagala----mwenge na kiluvya--- posta. sasa ungelinganisha umbali wasehemu hizi mbili. probably you are a poor thinker.

Akikamilisha "hukumu" yake iliyojaa hila kwa Mnyika, Shehe kauliza hivi: "Iweje mbunge wa ubungo, john mnyika akawatetee wakazi wa kigamboni wanaolipa sh. 200 badala wapigakura wake ambao hulipa sh 1,200 kutoka kiluvya hadi posta. Je, huo sio unafiki?"

Kwa akili yako unadhani hapo Shehe analinganisha nauli ipi dhidi ya ipi hatimaye kufikia hitimisho au hukumu yake? Ni mwendawazimu tu (sidhani kama Shehe yumo kwenye kundi hilo) asiyejua kwamba nauli ya Mbagala na Kiluvya ziko sawa (based on distance ratio) na ingekuwa ajabu kwa Mnyika kulalamikia kitu ambacho (anajua) kiko sahihi! Narudia tena - ni kichaa tu tena wa daraja la kwanza anayeweza kufanya hivyo.

Kwa hesabu zako hapo juu umeweka into the consideration kwamba consumption ya mafuta kwa gari na kivuko ni tofauti?

Kuligeuza tu hilo boti liondoke waweza kuta limekata wese la km 10 za gari ya kawaida!

Ni kweli. Lakini linabeba mara ngapi ya gari? Duniani kote usafiri wa majini (pale unapopatikana) ndio rahisi kuliko usafiri mwingine wowote. Nenda Uchina, Marekani, kokote kule. Lakini kumbuka, hatuzungumzii boti za anasa kama za akina Abramovich, tunazungumzia "usafiri wa wananchi".

Hapa JF baadhi hoja zinawekwa upande wa Uislamu au Ukristo kwanza kisha ndio zinawasilishwaa au kujibiwa
kila la heri

Strong point? Sijui ni kigezo gani katumia huyo Shehe kulinganisha nauli ya Kiluvya na Ferry! Ni umbali? Ni aina ya usafiri? au ni kitu gani alichotumia kufikia conlusion yake?

Kiluvya - Ubungo ni zaidi ya 30km wakati Kivukoni A - Kivukoni B haifiki 1km anyway let's assume its 1km.

Hesabu rahisi (Nauli kwa kilometa):

Kiluvya - Ubungo: 900/30 = T.Shs. 30/km.

Kivukoni A - Kivukoni B: 200/1 = T.Shs. 200/km.

Kwa akili yako na ya Shehe ni nauli ipi ghali? Kiluvya-Ubungo au Kivukoni? Jamani, just use common sense! Otherwise, tuambiwe ni kigezo kipi kimetumika. Naamini wananchi wakiambiwa kwa busara na ufafanuzi wa kueleweka hata kama itakuwa 10,000/= bado wataelewa na sio kwenda kuwatusi.
Mpaka hapo kama kuna mtu hajaelewa huyo ana ubishi wa kurithi.

Back
Top Bottom