Mkondakaiye
JF-Expert Member
- Dec 5, 2011
- 838
- 174
Strong point? Sijui ni kigezo gani katumia huyo Shehe kulinganisha nauli ya Kiluvya na Ferry! Ni umbali? Ni aina ya usafiri? au ni kitu gani alichotumia kufikia conlusion yake?
Kiluvya - Ubungo ni zaidi ya 30km wakati Kivukoni A - Kivukoni B haifiki 1km anyway let's assume its 1km.
Hesabu rahisi (Nauli kwa kilometa):
Kiluvya - Ubungo: 900/30 = T.Shs. 30/km.
Kivukoni A - Kivukoni B: 200/1 = T.Shs. 200/km.
Kwa akili yako na ya Shehe ni nauli ipi ghali? Kiluvya-Ubungo au Kivukoni? Jamani, just use common sense! Otherwise, tuambiwe ni kigezo kipi kimetumika. Naamini wananchi wakiambiwa kwa busara na ufafanuzi wa kueleweka hata kama itakuwa 10,000/= bado wataelewa na sio kwenda kuwatusi.
Hayo mahesabu wenzako hawayajui, wanachofanya ni kutumiwa na magamba kuchafua makamanda wa CDM tu.