Wachapakazi ambao ni watu safi lazima warudi; Lowasa, Mramba, Rostam, Karamagi, kamala, Chenge, ........
Mkuu nani amekuambia ana vision ya mbali na CCM pamoja na Watanzania? Subiri tuone....! Kwani si aliwanadi mwenyewe na kuwaombea kura kuwa ni wachapakazi na ni watu safi?
What Do you mean by mention:
Lowasa, Mramba, Rostam, Karamagi, kamala, Chenge, ........
Hawa kurudi kwao ni ndoto JK ameisha litambua hilo kuwa akiwapa tu anaivuruga CCM.
Waziri wa Udhibiti wa Kura na Uchakachuaji - riziwan Kikwete
Waziri wa taarabu na mambo ya starehe - salma kikwete
Waziri wa waathirika wa madawa ya kulevya na watoto wa mitaani - miraji kikwete
Waziri asiye na wizara maalum - lawrence masha

Hovyooooo na utaendelea kuishi masikini mpaka kufa kwako, yaonekana unaupeo mfupi kama mwenyekiti wako na katibu mkuu wako.Waziri wa Wasiokuwa na Wake - Dr. Wilboard Silaa
Waziri wa Viwanda vya Cement - Dr. Wilboard Silaa
Waziri wa Treni za Umeme - Dr. Wilboard Silaa
Waziri wa 50% Usalama wa Taifa - Dr. Wiliboard Silaa
Waziri wa Strippers - Freeman Mbowe
kama ikitokea zitto kupewa uwaziri basi apewe wizara ya nishati na madini na siyo hiyo ya michezo, pia Magufuli arudishwe miundombinu.nimepata nyepesi nyepesi kutoka chanzo ninachokiamini juu ya baraza jipya la mawaziri lenye sura mpyaaa!
waziri wa mambo ya nje.....anna tibaijuka
tamisemi.......................kombani
michezo.......................zitto kabwe
mambo ya ndani...........membe
sheria........................pindi chana
elimu......................mbene jannet<atateuliwa na raisi>
kilimo.....................magufuli
wengine nafatilia nikipata nitawaletea.
Nasikia huyu atateuliwa na Rais kwenye viti vyake 10. Na atampa uwaziri wa waganga wa kienyeji na tiba ya asili.Makao makuu ya wizara hii itakuwa Mwanza.waziri wa utabiri na kamati ya ufundi sheikh yahya
Na naibu wake atakuwa Vicky Mtetema yule wa BBC, nae pia kutoka viti kumi vya raiswaziri wa utabiri na kamati ya ufundi sheikh yahya
Kihelehele tu, utafia kwenye hizo nyumba za makuti wakati wenzako mafisadi wakisafirisha pesa nje, Utaendelea kukopa saccos na kuupata huo mkopo taabu,wakati wenzako mafisadi wakijichukulia mikopo benki kuu bila riba.Mmh mnatafuta mbinu yakuundwa umoja wakitaifa,katu hatutengezi serikali hiyo,kama mmeshindwa biashara ya Jumla vip tuwashirikishe kugawa faida,kama kawaida aliyerudi bungeni ataikwaa wizara yake,ila wizara zenye ushawishi kwa vijana tutawapa vijana ie Mhesh January Makamba