Baraka Da Prince akasirishwa na utani wa Stan Bakora

Kwanza kanuni ya Stan huwa hafanyi kava bila kumuomba muhusika,sasa sijui Baraka alitegemea atamuigizaje .......... au pengine na hiyo ya kuchimba mkwara nayo ni sehemu ya kiki,maana kwa kiki huyu dogo yuko vizuri.
 
Baraka anashindwa kuhandle ustaa, ukishakua staa vitu kama hivyo ni vya kawaida, kwanza vinaongeza thamani ya brand yako wewe kama msanii. Kwa cover ile ilitakiwa amshukuru Stan maana ameipa kiki video yake maana wengine walikua hawana habari ya kuingia YouTube, but baada ya hiyo cover wameicheki
 
lkn stan bakora anaboa unajua...watu wanapenda sanaa lkn c kwa kudhalilishana.....kama angeona hawez vaa uhusika angeachana na video.....maswala ya kutafuta kiki kwa kazi za wenzako...hope akizid baraka anaweza akamscorpion mchana kweupe...stan afanye kaz aache kupenda kutelezea nyota za wenzake
 
Stani kampatia sana

Kumbe suala la weusi kwa Da prinz ni kitu ina muumiza sana ee.
Halafu wabongo huwa wana nishangaza kwa wenzetu Comedians wana muigiza had Obama ni kaz yao hiyo nothing personal
 
Baraka anashindwa kuhandle ustaa, ukishakua staa vitu kama hivyo ni vya kawaida, kwanza vinaongeza thamani ya brand yako wewe kama msanii. Kwa cover ile ilitakiwa amshukuru Stan maana ameipa kiki video yake maana wengine walikua hawana habari ya kuingia YouTube, but baada ya hiyo cover wameicheki
Wellsaid...me binafsi nlikuwa sijui hii nyimbo kbs,baada ya Stan kuicover ndio nimeichek YouTube,nyimbo nzuri...
 
baraka anadhidi kushuka thamani ndani ya kichwa changu, huyu dogo kiukweli ustar unataka kumshinda nguvu mana naskia pia ni mtu wa kujiskia na dharau sana yn.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom