Josaje Mtui
JF-Expert Member
- Oct 1, 2016
- 2,469
- 2,207
Watanzania wenzangu tuendelee kujikinga na Covid -19 kwa kupiga nyungu ili kujiwekea kinga mwilini dhidi ya maambukizi haya yanayoitikisa Dunia yetu ktk kila nyanja.tusingoje kuletewa dawa ili halu na sisi tunazo njia mbadala za kuweza kujikinga ..nyungu ngungu na dawa zetu zote za asili tuzitumie kwa kadri inavyowezekana kwa kua zinatupa matokeo chanya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app