Barackalypse Obamageddon

Mimi nilitaka JohnMcCain awe rais na sio OBOMA as McCain asingeremba ni vita kwenda mbele huko kwa alqaeda na alshabab
 
Let the drama begin. You remind me of 2008 campaign. I will be there again, following and cheering closely, and you knew/know my side-nothing much has changed!
 
Let the drama begin. You remind me of 2008 campaign. I will be there again, following and cheering closely, and you knew/know my side-nothing much has changed!

Welcome back my brother! I am ready for battle. But I don't know about you. But I know it's gonna be a fun ride heading to Nov.6, 2012.
 
Mimi nilitaka JohnMcCain awe rais na sio OBOMA as McCain asingeremba ni vita kwenda mbele huko kwa alqaeda na alshabab
You are very wrong.Fuatilia kwa makini utagunduwa why you are very very wrong.US ilikuwa on a verge of being alienated kama wangemweka Mc Cain ambaye hakuna tofauti na Bush.Kumbuka kuwa wakati ule watu (jumuiya ya kimataifa)walikuwa wanaiangalia US kwa macho ya tofauti sana na ku doubt nini haswa nia yao.Especially baada ya issue ya false intelligence on Iraki.(weapons of mass destructions).Which were never found despite the fact that it was primarily the reason for war.

Yani hata wale waliokuwa wanaambiwa baadhi ya mambo yanayotokana na US intelligence kuhusu nchi nyingine kama Iran,walikuwa wana doubt na sanctions dhidi ya Iran na mataifa mengine,wengine walikuwa wanafikiri mara mbili mbili kuzifuata.Kwa kifupi US credibility ilikuwa at the lowets rates na uchumi ambao unategemea credibility pia ukawa kwenye hati hati.
Fuatilia upya utagunduwa na si porojo tu.Haya mambo si kama ushabiki wa Simba na Yanga.
 
Okay party people..the 2012 US general election is shaping up to be one of the most nastiest ever in recent memory.

It is undeniable that Obama's back is against the wall and his campaign will pull out all the stop to ensure he hangs onto office come November 6, 2012.

Now word has it that the Obama campaign plans to borrow a page out of George W. Bush's 2004 re-election campaign's playbook and start 'swift boating' the GOP frontrunner, Mitt Romney. According to Politico,"Obama's campaign plans to portray Romney as inauthentic, unprincipled and 'weird."

So much for mister hope and change you can believe in. When Obamanomics fails that's what you resort to. When you can't run on your record you turn to slash and burn politics of personal destruction. Let's see how far that will get you.

In a nutshell, Obama is toast. So for all you Obama stans get your tissue papers ready. November 6, 2012 is going to be my turn to gloat and I can't wait.

Susuviri my friend, where you at? Koba bring your ass outta here and let's go for it. I'm ready for battle.

For more on Obama's tactics, Obama plan: Destroy Romney - Ben Smith and Jonathan Martin - POLITICO.com

Oboma hana lolote wanatofautiana na JK kwa sentimita chache sana.
 
Una akili sana wewe.
MkamaP said:
Oboma hana lolote wanatofautiana na JK kwa sentimita chache sana.
Wakuu acheni kuwa that so much naive.Kumfananisha JK na Obama ni sawa na kuwa mfu wa kifikra.Kwanza mwenzake(jk) ana mamlaka makubwa sana kikatiba tofauti na Obama anayeminywa na Congress.Utafaninisha serikali inayouza rasimliali zake na marekani?Unataka niachane na hii thread?Coz i cant stand such craps!

BTW nyani nimetoka kusikiliza hotuba ya Obama.Everything he said,is the same thing i argue on my previous post directed at you concerning taxes,job creation and all that.Itabidi nianze kuchangia kwenye hizo websites zao coz we share the same way thinking and so forth.Yani hadi nikajiuliza kama ana mshauri wake humu JF ambaye anampelekea ushauri?Tafuta hiyo hotuba ya Michigan at the battery factory ambayo kaimalizia muda huu.Everything he said is the same thing i told you...Issue kama vile kufanya lolote kumwangusha yeye bila kujali masalhi ya Taifa.Issue ya kuwa whats fair when it comes to taxation...Maybe akisema Mh mwenyewe utajuwa kuwa ni strong point.Nimesubiri ujibu ile post yangu hujafanya hivyo.Inaelekea unataka tu ubishani ka wa simba na yanga.
 
Meku, post gani hiyo ambayo sijaijibu?

Anyway, all I know is you can't empower the poor by impoverishing the wealthy which is what Obama wants to do. Otherwise, what does spreading the wealth means?
 
Wakuu acheni kuwa that so much naive.Kumfananisha JK na Obama ni sawa na kuwa mfu wa kifikra.Kwanza mwenzake(jk) ana mamlaka makubwa sana kikatiba tofauti na Obama anayeminywa na Congress.Utafaninisha serikali inayouza rasimliali zake na marekani?Unataka niachane na hii thread?Coz i cant stand such craps!

BTW nyani nimetoka kusikiliza hotuba ya Obama.Everything he said,is the same thing i argue on my previous post directed at you concerning taxes,job creation and all that.Itabidi nianze kuchangia kwenye hizo websites zao coz we share the same way thinking and so forth.Yani hadi nikajiuliza kama ana mshauri wake humu JF ambaye anampelekea ushauri?Tafuta hiyo hotuba ya Michigan at the battery factory ambayo kaimalizia muda huu.Everything he said is the same thing i told you...Issue kama vile kufanya lolote kumwangusha yeye bila kujali masalhi ya Taifa.Issue ya kuwa whats fair when it comes to taxation...Maybe akisema Mh mwenyewe utajuwa kuwa ni strong point.Nimesubiri ujibu ile post yangu hujafanya hivyo.Inaelekea unataka tu ubishani ka wa simba na yanga.

1. We believe in change == maisha bora kwa kila mtanzania, kasi mpya nguvu mpya n,k.

2. Jeneza la Balali hakuna kufunguliwa == Osama alizikwa baharini.

Hence, angle angle congruence.
 
Unaweza kuwa employed na mtu ambaye siyo tajiri indirectly kwenye corporate world.(share holders).Kwahiyo siyo kweli kuwa ni rich people only employes people.Definition yako ya "richness" ni ipi?Mfano ulioutoa hauendani na ukweli halisi.Na pia kusema taxation should be fair to all who pay taxes,tayari unajicontradict na msimamo wako wa kutokuwa tax more rich people.Kwasababu naamini that is a fair practice.It all comes with the territory,una pesa nyingi,then majukumu yako pia ni mengi na makubwa kuliko ya yule aliye masikini.Hiyo ndiyo fairness.It is the rule of common justice.Hizo pesa wanazozipata hazijaanguka kutoka mbinguni.Ni wealth ambayo wamei generate kwa kusaidiwa na hao poor people.Kuajiriwa na tajiri pia unamsaidia kujenerate wealth hata kama wewe ni poor.
Pia ukiwa tax middle class people zaidi,then hawataweza kupurchase anything ambayo inakuwa manufactured ama serviced by the rich.Ni common sense tu hapo

Taxes for the rich zimekuwa zikipunguzwa,na Bush ndiye aliyezidi kuzipunguza kufikia level ya kihistoria na kusema kuwa zitastimulate uchumi,matokeo ake unayajua,uchumi ukaporomoka,akazidi kuwapunguzia matajiri taxes,ukazidi kuporomoka,so hoja yako hapo haimake sense kwasababu kuna other factors.Obama ana argue kwamba kuzidi kupunguzwa kwa taxes ndiyo yamelifikisha taifa la Marekani hapo lilipo.Its a maniac strategy.You cat just do the same thing over and over again expecting different results.Wameshushiwa tax na Bush na matokeo yake unajuwa ni yapi?Kwa taarifa yako bado wamezidi ku outsource kazi zote amabazo zimepelekea watu kuwa unemployed.(kwasababu they're just too greedy).Sasa unataka nani achangie mfuko huo ie wa unemployement nk zaidi ya hao walio outsorce hizo kazi to begin with?Umma wa wananchi watakao retire,social security,medical nk zote ni issues zinazotakiwa kuwa financed given all this mess.Pia kwa taarifa yako,Obama pia ana policy kwamba wale watakaozikeep biashara ndani ya marekani ndio watakapunguziwa kodi.Wale wanaingiza billions of dolars just bonus,ma exec wa kampuni za mafuta kwa mfano,eti na hao wapunguziwe kodi.Acheni utani.

There is nothing as such as spreding wealth.Hizo ni kauli mbovu tu za ma extremist wa republican zenye kulenga kuwatia hifu wazungu kuwa wanataka waporwe utajiri wao uganwanywe.Kwa mtu mwelewa,huwezi kusema kuwa utajiri unakuwa spreaded,how?Kama unataka kusema kuwa hiyo ni kuspread wealth,then the opposite ni ku accumulate wealth to the few?Tafakari ndugu Nyani.
Nyani,hiyo hapo juu,umechagua kujibu issue ya wealth spreading pekee (in my last paragraph) ambayo pia nayo nimeshai clarify on the followed up post(post # 83) pale ulipoweka video ya you tube ya plumber.Pia tafadhali tafuta hotuba ya michigan ya leo hii some moments ago.Nitaiweka hapa kama ukitaka.
 
1. We believe in change == maisha bora kwa kila mtanzania, kasi mpya nguvu mpya n,k.

2. Jeneza la Balali hakuna kufunguliwa == Osama alizikwa baharini.

Hence, angle angle congruence.
MkamaP sijui huwa unaingiaga humu ukiwa maji ama vipi?Balali angekuwa anatakiwa na serikali ya Tanzania kama ilivyokuwa kwa Obama alivyotakiwa na serikali ya marekani,then ingekuwa tofauti sana.Hakuna aliyetaka Balali awajibishwe kwenye serikali yetu.Labda kwa siri.Huwezi kufafanisha hayo,ni apples to mangoes.Serikali yetu ilisema Balali alizikwa wapi vile?Ambapo hakuna mtu anayeweza kwenda kuona kaburi lake?
Tulia unaposoma humu JF,hawajaiita hii forum kuwa ya great thinkers kwa bahati mbaya.Maisha bora kwa kila mtanzania haiendani kabisa na hoja ya Obama ya "Hope" and "Yes we can"JK hana kizuizi bungeni cha kufanikisha sera za chama zake.Tafadhali usiharibu thread kwasababu kuna mtu alifungua thread ya kuwalinganisha na sikuichangia coz sikutaka kukutana na mambo kama haya yanayoweza kuharibu mjadala na kuniharibia appetite yangu.
 
Rick Perry is in y'all. I'm uberexcited!

So far sijaona who can really stand and win against BHO , Still some on the way?????????? Nadhani unakumbuka 2008 though so many dynamics have changed lakini bado huko GOP a truly challenger hajatokea, and the GOP political genius in presidential electioneering, Rove analijua hilo!!!!!!!!
 
Hahahaaaa hata Ronaldus Magnus walisemaga hana nafasi kabisa dhidi ya Carter. Na mwaka huo pundits wa wakati ule walisema hivi hivi unavosema wewe na kilichokuja kutokea ni historia.

Sasa with the unemplyment rate being above 9 percent sijui ni nini tu kinachokufanya uwe na imani kuwa the American people will reward Obama with a second term. Sawa, by November of the next year no one knows what the numbers are going to be but to be so sure that Obama is a shoo-in for a second term is a bit presumptuous.

Na napenda sana mnavyowadharau candidates wa GOP. Ever since I can remember it has always been that way and honestly I like it that way because it has worked for them.
 
Nyinyi hebu acheni hizo inferiority complex na victimhood. Yaani afadhali hata JMushi, Jasusi, Susuviri, Hofstede, na Kishoka. Hawa kidogo mta debate nao kwa kutumia hoja na si race card.

This race card thing doesn't cut it anymore and it so played out so cut it out.
be blessed
watu wanatumia belonging kutetea uovu (sina maana OBAMA ni mbaya ila kumtetea just bcs ni black ni upungufu wa akili)
Obama bado ni supperior given hali ya marekani kwa sasa.
Kutumia race/dini/origin ni ujinga sana as how some Tz Muslims fail kuona JK anavyopwaya just becase ya dini
 
Angalau kiduchu we unaelewa.
 
I have never accepted Obama. For a good reason, Obama did not deserve WH. It is bad luck that he got there.
That is my view!
 
Back
Top Bottom