Nyani Ngabu said:
I think taxation should be fair to all who pay taxes. It makes no sense to tax the rich more when it is the rich who create jobs. Have you ever been employed by a poor person before? Throughout my life I have been employed by rich people and never by a poor person.
Unaweza kuwa employed na mtu ambaye siyo tajiri indirectly kwenye corporate world.(share holders).Kwahiyo siyo kweli kuwa ni rich people only employes people.Definition yako ya "richness" ni ipi?Mfano ulioutoa hauendani na ukweli halisi.Na pia kusema taxation should be fair to all who pay taxes,tayari unajicontradict na msimamo wako wa kutokuwa tax more rich people.Kwasababu naamini that is a fair practice.It all comes with the territory,una pesa nyingi,then majukumu yako pia ni mengi na makubwa kuliko ya yule aliye masikini.Hiyo ndiyo fairness.It is the rule of common justice.Hizo pesa wanazozipata hazijaanguka kutoka mbinguni.Ni wealth ambayo wamei generate kwa kusaidiwa na hao poor people.Kuajiriwa na tajiri pia unamsaidia kujenerate wealth hata kama wewe ni poor.
Pia ukiwa tax middle class people zaidi,then hawataweza kupurchase anything ambayo inakuwa manufactured ama serviced by the rich.Ni common sense tu hapo
More taxation of the rich stunts economic growth. And you can't have economic growth if there are no jobs. Job creation, lower taxes, and economic growth go hand in hand. The less you tax the rich, the more they are going to create jobs. The more jobs are created, the more opportunities are created.
Taxes for the rich zimekuwa zikipunguzwa,na Bush ndiye aliyezidi kuzipunguza kufikia level ya kihistoria na kusema kuwa zitastimulate uchumi,matokeo ake unayajua,uchumi ukaporomoka,akazidi kuwapunguzia matajiri taxes,ukazidi kuporomoka,so hoja yako hapo haimake sense kwasababu kuna other factors.Obama ana argue kwamba kuzidi kupunguzwa kwa taxes ndiyo yamelifikisha taifa la Marekani hapo lilipo.Its a maniac strategy.You cat just do the same thing over and over again expecting different results.Wameshushiwa tax na Bush na matokeo yake unajuwa ni yapi?Kwa taarifa yako bado wamezidi ku outsource kazi zote amabazo zimepelekea watu kuwa unemployed.(kwasababu they're just too greedy).Sasa unataka nani achangie mfuko huo ie wa unemployement nk zaidi ya hao walio outsorce hizo kazi to begin with?Umma wa wananchi watakao retire,social security,medical nk zote ni issues zinazotakiwa kuwa financed given all this mess.Pia kwa taarifa yako,Obama pia ana policy kwamba wale watakaozikeep biashara ndani ya marekani ndio watakapunguziwa kodi.Wale wanaingiza billions of dolars just bonus,ma exec wa kampuni za mafuta kwa mfano,eti na hao wapunguziwe kodi.Acheni utani.
So instead of spreading the wealth, I am all for spreading opportunities.
There is nothing as such as spreding wealth.Hizo ni kauli mbovu tu za ma extremist wa republican zenye kulenga kuwatia hifu wazungu kuwa wanataka waporwe utajiri wao uganwanywe.Kwa mtu mwelewa,huwezi kusema kuwa utajiri unakuwa spreaded,how?Kama unataka kusema kuwa hiyo ni kuspread wealth,then the opposite ni ku accumulate wealth to the few?Tafakari ndugu Nyani.