Baracka da Prince yupo busy na Najma, amesahau hata muziki

Slowly

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
10,488
34,792
Simuelewi huyu kijana siku hizi, huko instagrama picha zote yupo na Najma, mara anamla denda, mara kamshika makalio, hata mziki sasa hivi sijui kama anaimba tena. Inabidi arekebike
 
Mbona na wewe hufanyi kazi kufuatilia mambo ya watu!

Sent by Diaspora
Mi kama shabiki wake sioni kabisa ngoma mpya nzur..so najarbu kutembelea page yake ili nione labda kuna taarifa zozote za new project..lakn daily naambulia picha zake akiwa na naj....
 
Simuelewi huyu kijana siku hizi, huko instagrama picha zote yupo na Najma, mara anamla denda, mara kamshika makalio, hata mziki sasa hivi sijui kama anaimba tena. Inabidi arekebike

wabongo bwana.usipo kunya leo watakuuliza kesho.usanii ni akili kutunga nyimbo unataka hakuimbie nyegeee nyegezi
 
wabongo bwana.usipo kunya leo watakuuliza kesho.usanii ni akili kutunga nyimbo unataka hakuimbie nyegeee nyegezi
Hapana mashabiki tunauliza asisahau kazi..maana ni mapenz tuuu...miez sasa inakata bila hit song..japo kweli wanapendana bas atukumbuke mashabiki pia
 
Jamaa naskia alibadili mpaka dini mapwenzi bwaaaaaaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Demu alimzingua mbaya, mshikaj alikonda kinyama jamaa akaamua kukilipua na kubadili dini....sasa hv hata mziki hajali kabisa yaani...kazi kumpost najma tuu amesahau kwamba mziki ndo ulimfanya akampata Najma, na akikaza kwenye mziki atawapata wengi tu wa namna ile....Basi akumbuke mziki bas
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…