Mbona na wewe hufanyi kazi kufuatilia mambo ya watu!Simuelewi huyu kijana sku hzi..huko instagrama picha zote yupo na Najma, mara anamla denda, mara kamshika makalio...hata mziki sa hv sjui kama anaimba tena....inabd arekebike
Hahaa jf bwanaMbona na wewe hufanyi kazi kufuatilia mambo ya watu!
Sent by Diaspora
Mi kama shabiki wake sioni kabisa ngoma mpya nzur..so najarbu kutembelea page yake ili nione labda kuna taarifa zozote za new project..lakn daily naambulia picha zake akiwa na naj....Mbona na wewe hufanyi kazi kufuatilia mambo ya watu!
Sent by Diaspora
Simuelewi huyu kijana siku hizi, huko instagrama picha zote yupo na Najma, mara anamla denda, mara kamshika makalio, hata mziki sasa hivi sijui kama anaimba tena. Inabidi arekebike
mitonyo mzee baba mitonyoooJamaa kamzimia sana demu...mahusiano yalipoyumba kdog jamaa almanusura awe chizi...kabadili na dini ili kumridhisha manzi mapenzi haya
Hapana mashabiki tunauliza asisahau kazi..maana ni mapenz tuuu...miez sasa inakata bila hit song..japo kweli wanapendana bas atukumbuke mashabiki piawabongo bwana.usipo kunya leo watakuuliza kesho.usanii ni akili kutunga nyimbo unataka hakuimbie nyegeee nyegezi
Demu alimzingua mbaya, mshikaj alikonda kinyama jamaa akaamua kukilipua na kubadili dini....sasa hv hata mziki hajali kabisa yaani...kazi kumpost najma tuu amesahau kwamba mziki ndo ulimfanya akampata Najma, na akikaza kwenye mziki atawapata wengi tu wa namna ile....Basi akumbuke mziki bas
Nadhani kuna njia nyingi za kumfikishia malalamiko yako na jf sio moja wapo.Mi kama shabiki wake sioni kabisa ngoma mpya nzur..so najarbu kutembelea page yake ili nione labda kuna taarifa zozote za new project..lakn daily naambulia picha zake akiwa na naj....
Hakuna msanii ambaye hapiti humu..na wote wana IDNadhani kuna njia nyingi za kumfikishia malalamiko yako na jf sio moja wapo.
Au Da prince ni memba huku?
Sent using Jamii Forums mobile app
Simuelewi huyu kijana siku hizi, huko instagrama picha zote yupo na Najma, mara anamla denda, mara kamshika makalio, hata mziki sasa hivi sijui kama anaimba tena. Inabidi arekebike