Baracka da Prince yupo busy na Najma, amesahau hata muziki

Slowly

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
10,462
34,706
Simuelewi huyu kijana siku hizi, huko instagrama picha zote yupo na Najma, mara anamla denda, mara kamshika makalio, hata mziki sasa hivi sijui kama anaimba tena. Inabidi arekebike
 
wabongo bwana.usipo kunya leo watakuuliza kesho.usanii ni akili kutunga nyimbo unataka hakuimbie nyegeee nyegezi
Hapana mashabiki tunauliza asisahau kazi..maana ni mapenz tuuu...miez sasa inakata bila hit song..japo kweli wanapendana bas atukumbuke mashabiki pia
 
Jamaa naskia alibadili mpaka dini mapwenzi bwaaaaaaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Demu alimzingua mbaya, mshikaj alikonda kinyama jamaa akaamua kukilipua na kubadili dini....sasa hv hata mziki hajali kabisa yaani...kazi kumpost najma tuu amesahau kwamba mziki ndo ulimfanya akampata Najma, na akikaza kwenye mziki atawapata wengi tu wa namna ile....Basi akumbuke mziki bas
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom