Civilian Coin
JF-Expert Member
- Dec 2, 2012
- 2,305
- 4,334
Pole kwa kuguswa Don..
Kwani amekugusa wapi..
Mtu na mkwewe!Mambo yenu ya kifamilia hayo, huyu Barack anatambua kuwa soon ubin wa binti yake utakua Nalimison?
Sisi hayatuhusuMtu na mkwewe!
Sky Eclat kachukue fomu, wakikuuliza waambie mimi ndiye nimekutuma.Sisi hayatuhusu
Mkuu nakuomba nikuone pm basiHahahaha
Wapi kaguswa 😅😅 mgongoni au kichwani au beganiHongera kwa kuguswa
Halafu Sasha kawa msupu kuliko Malia daaahMambo yenu ya kifamilia hayo, huyu Barack anatambua kuwa soon ubin wa binti yake utakua Nalimison?
Jamaa ana macho kwa watoto wakike, hachagui namba mbovu.
Kaguswa madongo kuinama.Wapi kaguswa 😅😅 mgongoni au kichwani au begani
Na muda sio mrefu atapapaswa kwa sauti ya masau bwireHongera kwa kuguswa