comte
JF-Expert Member
- Dec 11, 2011
- 9,014
- 6,832
Mwaka huu tumejaliwa kupata mvua zakutosha angalau mpaka kipindi hiki sijui huko mbele. lakini kila jambo zuri lina ubaya wake kwani mvua hizi zimeharibu miundo mbinu hasa barabara. hali hii inawaweka wawakilishi wetu katika mtihani wa kuwapima umakini wao. wambunge wetu mko wapi?
Madiwani wetu mko wapi? bunge tunajua limesimama na hivi karibuni hatujasikia mpango wa kuwepo kwa maandamano kokote. tuhamasishane tukarabati barabara zetu, au kwa vile nyinyi mlisema mkiwa wabunge matatizo yetu yote yataisha tutengenezeeni hizo barabara.