Barabara za mawe Mwanza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Barabara za mawe Mwanza

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Haika, Feb 23, 2012.

 1. H

  Haika JF-Expert Member

  #1
  Feb 23, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,318
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Nimebahatika kuona documentary ya kuhusu barabara za mawe Mwanza. Nimepata faraja kubwa sana kujua kuwa sio kila kitu Tanzania kinayumba, ila kuna wataalamu wanajitahidi kufanya mambo ya maana.
  Big up wahusika wote!
  Msiachie hapo, mkuu wa mkoa kama mwanasiasa mkuu wa mkoa tunategemea uhamasishe wenzako wa mikoa mingine yenye raslimali ya mawe kama arusha ambayo haina barabara ianze, ichukue vijana wakajifunze na kuhamishia ujuzi tanzania nzima, nadhani kuwa baada ya muda hawa vijana mafundi wa mwanza watakuwa walimu wazuri na uchumi wao utaimarika, kwanini wasifanye part time VETA kufundisha?
   
 2. mshana org

  mshana org JF-Expert Member

  #2
  Feb 23, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 2,102
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145
  Tatizo la tz hua nikichwa cha mwendawazimu hawawezi kuendeleza mambo ya msingi kama hayo.
   
 3. bampami

  bampami JF-Expert Member

  #3
  Feb 23, 2012
  Joined: Nov 5, 2011
  Messages: 4,854
  Likes Received: 1,297
  Trophy Points: 280
  Usisahau na Iringa pale ilula pana mawe ya ajabu xana
   
 4. d

  dav22 JF-Expert Member

  #4
  Feb 23, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 1,902
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Mwanza is a nice scenic city..
   
 5. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #5
  Feb 23, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Amma kweli kipofu akiona Punda. Hizo barabara za mawe zipo duniani kuanzia 2000 BC, miaka 2000 kabla ya Kristo.

  Sisi tunaona ajabu leo hii? wenzetu leo wanaweka barabara za vioo na barabara za sumaku, sisi ndio tunaanza kwa hizo na tunajivunia? tupo miaka 4,000 nyuma ya wenzetu. Huo ndio ukweli.

  [​IMG][​IMG]

  Soma zaidi: World's Oldest Paved Road Found in Egypt - NYTimes.com
   
Loading...