Wanaokufa sio watumia vyombo vya Moto tu hata watumiaji wengine wa barabara wanapatwa na ajali hizo kwa uzembe wa wengine, hata wewe unaweza kugongwa na mlevi, utasema acha ufe tu!Yaani hadi huruma.
Nyingi za ajari hizo husababishwa na shetani pombe.
Anyway, kila mtu atavuna alichopanda.
Acha wafe tu, hakuna namna.
Raha yako is equal to kifo chako
Ndio maana nasema JF imepoteza GT. Asante kwa kumweleweshaWanaokufa sio watumia vyombo vya Moto tu hata watumiaji wengine wa barabara wanapatwa na ajali hizo kwa uzembe wa wengine, hata wewe unaweza kugongwa na mlevi, utasema acha ufe tu!
Ukiwa kama mwanadsm na Mtanzania unayependa maslahi ya nchi yako unashauri nini kifanyike kutatua tatizo hili?Kwa uchnguzi wangu mdogo barabara za dar ni moja ta sehemu hatari sana hasa nyakati za usiku.
Pengine kwa sababu muda huo kunakua hakuna matrafiki na watu wengi wanakuwa wametoka kupata moja moto ukitembea huwezi kukosa wastani wa ajali 3-5 huko mabarabarani na zingine zinagharimu maisha ya watu kwa sababu watu wanajiachia sana barabaran muda huo. Mwanadsm beware na safari usiku.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulikuwa unatembea kwa miguu?Ni kweli. Jumamosi usiku nikiwa zangu mitaa ya sinza kuna jamaa kidogo anitangulize mbele za haki. Jamaa alikuwa na kivitz chake anatokea kule La Chaaz. We jamaa wa kivitz cha kijivu kama unasoma hapa pokea p.u.m.b.a.vu zako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Usicomment kabla ya kufikiri. Ajali haiwapati walevi tu, Na sio kila aendeshaye usiku ni wa anasa Na starehe, wengine wanakuwa kwenye majukumu yao kikazi, wengine wanapaswa Na dharura Na hujikuta wamepatwa na janga la ajali bila kutegemea Na wengine kusababishiwa. Nakushauri kabla ya kukomenti hebu shirikisha na ubungo wako kidogo.Yaani hadi huruma.
Nyingi za ajari hizo husababishwa na shetani pombe.
Anyway, kila mtu atavuna alichopanda.
Acha wafe tu, hakuna namna.
Raha yako is equal to kifo chako
Shetani pombe ndio kitu gani??Yaani hadi huruma.
Nyingi za ajari hizo husababishwa na shetani pombe.
Anyway, kila mtu atavuna alichopanda.
Acha wafe tu, hakuna namna.
Raha yako is equal to kifo chako
Hahahaa.MkanyooshaKuna jamaa moja lilikuwa limelewa mida ya saa kumi na moja alfajiri siku ya jumamosi halafu linaendesha gari njia nzima kaitawala yeye tulishuka kwenye gari tulimpa vitasa hadi kituo cha polisi pombe zilikata.
Sent using Jamii Forums mobile app
Barabara zote ziwekwe taa na ziwe zinawaka na kufungwa camera ambazo control inakuwa Polisi Hq then wale wote wanaofanya makosa magari yao yanakamatwa na kupiga fani kubwa sana.
Na waliosababisha vifo na majeru ni mahakani.
Itakuwa soma kwa watuamiajiaji magari usiku au bodaboda