Barabara za afrika kasheshe kweli

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,320
33,125
545675_256876301101368_116945669_n.jpg

huyu atakuwa ni Boflo mumemuona huyooooooooooooooooooo
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Mzizimkavu umeniacha hoi! Hii kasheshe kweli kweli. Sijui kama Kikwete analiona hili kama maisha bora kwa wote.
 
The land looks fertile, I am in-loving it. Please please help me Maalim MziziMkavu.
Mkuu Mbuzi Mzee mtafute Mkuu.qBoflo atakupatia kiwanja mimi sipo huko bongo...................

Boflooooooo usipende kwenda porini wakati wa mvua bana...angalia sasa jinsi ulivyoadhirika!!! uko meng'emeng'e.
Mkuu BAK maisha ya Vijinini ni magumu kiasi hata ya barabara hakuna sijuwi akina mkuu boflo wanaishije huko vijijini?
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom