Barabara za afrika kasheshe kweli

kwani Boflo ni mwanaume//mtu?
545675_256876301101368_116945669_n.jpg

huyu atakuwa ni Boflo mumemuona huyooooooooooooooooooo
 
Hiyo itakuwa ni DRC
Mkuu Kituko Umeshatupeleka Kongo Democrat ? kwani hakuna Sehemu nyingi katika Tanzania zipo kama hivyo?Umeshawahi kutembelea Vijijini nje ya mji wa Dares-Salaam? au umezoea kukaa mijini habari za vijijini huna?Waulize watu wanaaoishi vijijini watakupa feedback.
 
Kaka MziziMkavu, sijisifii kama nimetembea sehemu kubwa ya Tanzania ni agharabu sana kukuta sehemu kama hiyo na mazingira kama hayo, yaani kwa asilimia 99% hiyo ni DRC nina picha nyingi za huko na ziko kama hivyo
 
Mzizizmkavu acha magilini, hapa ni Washington Dc. si unamuona huyo NIGGA binamu yake Fifute sente

Hii barabara imenikumbusha mwaka 1998 wilayani makete gari liligeuka kuelekea lilikotoka kwa ajiri ya utelezi.
 
Last edited by a moderator:
mmhh hiyo itakuwa barabara ya kwenda kusini ukishavuka daraja la mkapa mvua zikinyesha ndio hinakuwa hivyo
TZ shida kwelikweli njia za hapa tabu na hata za kwenda mbinguni zitakuwa hivyohivyo tabu tupu...
 
Back
Top Bottom