IpoNatoka Mwanza kwenda Mbeya, Kwa private drive. Wenyeji wa njia ya Tabora kwenda Mbeya Kuna lami? Wanafamilia msaada kwenye tuta.
Maana nimeogopa nisije chepuka mpaka Tabora kumbe Tabora Mbeya vumbi. Saint Anne
Ipo kweli lami tabora to mbeya? Full tarmac?