Barabara ya Njombe Makete sasa imekumbukwa

Barabara ya Njombe Makete sasa imekumbukwa

hiyo barabara mbona ilianza kutengenezwa zamani toka enzi za kikwete?
Siyo kweli alichokifanya Kikwete ni kuweka vipande vya lami sehemu korofi, Mang'oto, Usungilo hadi karibia na ikonda.
 
hata sasa hivi wanachofanya ni kumalizia vipande vibovu barabara ya muhimu ni ya ludewa kuna makaa ya mawe huko makete hakunaa cha maana
Ndio maana watu wanalalamika kuwa keki ya Taifa inaliwa kiupendeleo, Makete kuna vyanzo vingi tu vya kuliingizia Taifa pato.

Ila kwa sababu ya baadhi ya kanda kujiona bora dhidi ya zingine ndio maana maendeleo yamekuwa yakipelekwa kwa upendeleo na hoja kuwa hakuna cha maana.

Sasa hivi jamii nyingi Tanzania zinawekeza kwenye elimu, hivyo miaka sio mingi keki ya Taifa tutakuwa tukigawana kwa usawa.
 
Makete pa uongooo kubayaaaa sana wakingaaa badilikeni igeni wachaga jengeni kwenu au mnaogopa kulogana?
 
Back
Top Bottom