Barabara ya Njombe Makete sasa imekumbukwa

Sio ukweli.

Kuna aina tatu za barabara
1. Flexible Pavement e.g. Bitumen
2. Rigid Pavement e.g. Concrete, stone
3. Earth/Gravel road
mbona unaandika the same thing, hiyo ya tatu sio mkuu, tatizo lako unaleta notes za darasani.

Barabara zinazo takiwa tz ni za aina mbili.
1. bitumen
2. concrete

mwisho....
 
Unaleta ubishi usio kuwa na msingi
 
Magufuli ni chaguo la Mungu.
Mungu hakuwa mpiga kura Tanzania.
Ila naunga mkono hoja kuwa ujenzi wa hii barabara ni jambo jema lililochelewa sana.
Nilishanasa Kipengele siku 3 kwa sababu ya ubovu wa barabara mwaka 2006, na kuna kilimo safi sana cha kabeji pale.
 
Hahahaa Nyumbu watatoa wapi hoja za kumponda kipenzi cha watanzania dawa ya mafisadi Rais Magufuli??
 
Kwa upande wa barabara magu namkubali sana toka aingie magogoni barabara nyingi sana zimewekwa sawa na zinaendelea kuwekwa sawa, kuanzia zile za mitaa hadi zile za wilaya-wilaya na hata mkoa kwa mkoa.
Ni jambo jema kuikumbuka hii Njombe-Makete road maana imetelekezwa toka enzi za maisha bora kwa kila fisadi kitu ambacho kimekuwa na shida tupu kwa mtu wa makete kuja Njombe mjini, ama watu wa njombe na viunga vyake kwenda makete
hiyo barabara mbona ilianza kutengenezwa zamani toka enzi za kikwete?
 
Kama ilianza zamani, je ilikamilika kwa wakati yaan ndani ya miaka kumi ya JK? Certainly not.
2010 kwa kutulaghai watu wa Njombe JK aliahidi kuiejenga ile barabara kwa kiwango cha lami toka kwenye junction yake na Songea Rd, hadi Makete;alileta magreda yakaanza kazi ya kilaghai na mwisho wa siku ujenzi ukayeyuka hadi JK anaondoka barabara haijajengwa.
 
ujenzi wa zamani ulikua ni vipande korofi mfano , ruhuji hadi ramadhani.. Mpango wa sasa haujui hivyo vipande, barabara yote toka njombe inajengwa upya ..
 
Hiki ndo tunamaanisha na kile ambacho tunaipongeza serikali, Kuanzia Ruhuji kona hadi Makete iwe safi si kwamba unaenda na gari yako unafika makete imebadilika rangi kutoka nyeupe hadi nyekundu si unaujua udongo wa huku.
 
Kama ilianza zamani, je ilikamilika kwa wakati yaan ndani ya miaka kumi ya JK? Certainly not.
2010 kwa kutulaghai watu wa Njombe JK aliahidi kuiejenga ile barabara kwa kiwango cha lami toka kwenye junction yake na Songea Rd, hadi Makete;alileta magreda yakaanza kazi ya kilaghai na mwisho wa siku ujenzi ukayeyuka hadi JK anaondoka barabara haijajengwa.
hata sasa hivi wanachofanya ni kumalizia vipande vibovu barabara ya muhimu ni ya ludewa kuna makaa ya mawe huko makete hakunaa cha maana
 
Ina umuhimu mkubwa sana, watu wapite kwa urahisi-waweze kwenda Njombe, Songea, Iringa, Dar kwa urahisi, pia iwezeshe kuwapelekea huduma zingine kwa urahisi.
Ludewa rd nayo ni ya muhim sana wanafunzi wa Ulaya(si) nao waende kwa magari mazuri na si yale matranka
 
Kwani nini ilichukuwa mda mrefu hivyo mbona mikoa mingine ina lami tangu zamani?
 
hata sasa hivi wanachofanya ni kumalizia vipande vibovu barabara ya muhimu ni ya ludewa kuna makaa ya mawe huko makete hakunaa cha maana
barabara zote zimesha tangaziwa tena isipo kuwa ludewa itajengwa kwa concrete standard na makete ni bitumen
 
Back
Top Bottom