Barabara ya Njombe Makete sasa imekumbukwa

Barabara ya Njombe Makete sasa imekumbukwa

Ni hatua nzuri, kwa kuanzia Bitumen standard sio mbaya, Nipongeze nia ya serkali kama ni ya kweli. Nitawapongeza zaidi pindi mradi utakapotekelezwa, Nimepita Barabara hizo Nov 2016 zina hali mbaya sana, na zinawagharimu sana wananchi hususani muda na pia wamiliki wa vyombo vya moto (Njombe - Ludewa nilitumia 4 hrs, Njombe - Makete 3.5 hrs)

Niitakie serikali utekelezaji mwema
 
bitumen standard ni nini??
 
Niippngeze serikali kwa kuikumbuka barabara hii ambayo inaunganisha Njombe na makete,Kwa miaka mingi hawa wakinga wamekua wakipata shida sana kusafiri kutoka makete hadi njombe kutokana na ubovu wa barabara.

Naona tenda imesha tangazwa pamoja na barabara ya ludewa Njombe.

The Government of the United Republic of Tanzania has allocated funds for the operation of the Tanzania National
Roads Agency (TANROADS) during the FY 2016/17. It is intended that part of the proceeds of the fund will be used
to cover eligible payment under the contract for the Upgrading of Njombe-Ndulamo-Makete Road (107.4 Km) to
Bitumen Standard, Lot 2: Moronga-Makete Section (53.5km), Tender No. AE/001/2016-17/HQ/W/06.
Waikumbuke na Makete Mbeya kupitia Kitulo!
 
Nani ambaye hakua chaguo LA Mungu,
.......Hata Mbunge wa Makete (ambaye ni mwenyekiti wa kamati ya Bunge inayoshughulikia PIA miundo mbinu).......anafaa kupongezwa na wana Njombe.Akimaliza Makete, tafazai, aelekeze nguvu kupata barabara ya lami ielekeayo Ludewa...
 
Njombe ludewa tayari tenda imesha tolewa, angalia tanroads website.
 
tapatalk_1479551480843.jpeg
 
FB_IMG_1483852225500.jpg

hali ya barabara wakati wa mvua
 
hiyo barabara si hile inayopita kuanzia njia panda ya mto ruhuji inapita maeneo ya ramadhani,,si hyo mkuu
 
Back
Top Bottom