msaka mahela
Member
- Jan 6, 2011
- 10
- 3
polisi mkoani arusha imefunga barabara ya arusha moshi kuwazuia wanachi na wakereketwa wa chadema wa mkoa wa kilimanjaro ambao wanaingia mjini arusha kushinikiza kuachiwa kwa viongozi wao.....! habari zaidi zitafuata..................
Ukitaka haki lazima uigharamie. Kama wanaua lazima wauwawe pia.
ukitaka haki lazima uigharamie. Kama wanaua lazima wauwawe pia.
huu ujinga uliosababishwa na hawa wahuni wanaoitwa viongozi wa chadema umeligharimu taifa gharama nzito
We Kosti Pipo.huu ujinga uliosababishwa na hawa wahuni wanaoitwa viongozi wa chadema umeligharimu taifa gharama nzito