KERO Barabara ya kwenda Liwale haifaiiii

KERO Barabara ya kwenda Liwale haifaiiii

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

1Africa54

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2025
Posts
462
Reaction score
540
Kero jamani tunaomba serikali iangalie barabara ya kwenda liwale ni mbovu hatari, tunaomba liwale iunganishwe kwa lami kutoka nachingwea to liwale iwe lami Barabara haifai kutoka liwale to songea via tunduru tunaomba lami kutoka liwale to dar es salaam lami tunaomba kutoka liwale to morogoro via kilombero tunaomba lami keroooooooooo uwiiiiiiiiii🙌🙌🙌🙌
Liwale-District-3-1080x675.jpg
 
Attachments

  • 1743867007819.jpeg
    1743867007819.jpeg
    141 KB · Views: 20
Kero jamani tunaomba serikali iangalie barabara ya kwenda liwale ni mbovu hatari, tunaomba liwale iunganishwe kwa lami kutoka nachingwea to liwale iwe lami Barabara haifai kutoka liwale to songea via tunduru tunaomba lami kutoka liwale to dar es salaam lami tunaomba kutoka liwale to morogoro via kilombero tunaomba lami keroooooooooo uwiiiiiiiiii🙌🙌🙌🙌View attachment 3294291
Mkuu hiyo barabara kutoka Nangulukulu hadi Liwale bado tu?
 
Kero jamani tunaomba serikali iangalie barabara ya kwenda liwale ni mbovu hatari, tunaomba liwale iunganishwe kwa lami kutoka nachingwea to liwale iwe lami Barabara haifai kutoka liwale to songea via tunduru tunaomba lami kutoka liwale to dar es salaam lami tunaomba kutoka liwale to morogoro via kilombero tunaomba lami keroooooooooo uwiiiiiiiiii🙌🙌🙌🙌View attachment 3294291
Kwa Liwale Barabara zitakazo leta mapinduzi ni Kuunganisha Lami hadi Nangurukuru, then Liwale tu Morogoro.

Tusubiri No Reform No Election kwanza
 
LIWALE -NACHINGWEA barabara ya lami is now loading ...............Hapa itabidi usubiri mpaka budget mpyq ya mwaka WA fedha 2025-2026.

Kwa SASA muone mwenyekiti WAko WA mtaa uliyemchagua Kwa kishindo .

Cc Lucas Mwashambwa ako Kwa kiti chako Kama chawa mwandamizi 😸😸😸
 
Back
Top Bottom