Barabara ya kutoka kusini, upande wa kilwa road mzinga imeziba police nendeni hapo.

frema120

JF-Expert Member
Jan 1, 2012
5,099
1,338
Nimepata taarifa sasa, barabara hiyo imefunga kabisa, na police wote wapo mbagara stand wanagombana na madaladala tu..

Pls watu wa breakdown nendeni kilima cha mzinga, mkasaidie kutoa magari na kupata pesa kidogo.

CHANZO; Dereva wa mabus.
 
Mbagara ndio mdudu gani?
 
Nimepata taarifa sasa, barabara hiyo imefunga kabisa, na police wote wapo mbagara stand wanagombana na madaladala tu..

Pls watu wa breakdown nendeni kilima cha mzinga, mkasaidie kutoa magari na kupata pesa kidogo.

CHANZO; Dereva wa mabus.

Mbagara=Mbagala
 
Back
Top Bottom