Serikali Jengeni Barabara ya Lami Kutoka Iringa-Kilolo-Ifakara-Mahenge Hadi Liwale/Lindi Ili Kufungua Uchumi wa Mikoa ya Kusini na Kanda ya Ziwa

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,100
49,795
Somo hapo Juu linahusika.

Mikoa ya Kusini ya Lindi na Mtwara haifikiki haijaunganishwa Kwa Barabara na Mikoa mingine ya Tanzania hasa Kanda ya Kati,Magharibi ,Kanda ya Ziwa na Kaskazini Kwa sababu tuu hakuna Barabara kuu inayoiunganisha Mikoa hiyo.

Nitoe Lai Kwa Serikali kuona uwezekano wa kujenga barabara Kuanzia Iringa Mjini/Ipogoro-Kilolo-Mgeta-Ifakara-Mahenge-Ilonga JCt-Liwale/Lindi na Mlimba-Utengule-Malinyi JCT-Ilonga JCt

Barabara hiyo ikijengwa itafungua uchumi mkubwa sana kwenye maeneo hayo Kwa sababu yote ni potential na pia itachochea Utalii wa Hifadhi ya Nyerere(Selous).

Najua pengine Serikali inasita Sita Kwa sababu ya wale watu wa blaa blaa za mazingira sijui viumbe hai na upuuzi kama huo.Haiingii akilini kwamba Wanyama ni muhimu kuliko maendeleo ya binadamu.Mikumi Kuna Barabara ambayo ni busy zaidi mbona hatusikii Hifadhi ya Mikumi ikifa?

Mwisho uzuri wa hiyo Barabara ni kwamba ikitokea Barabara Kuu ya Tanzam imejifunga hasa kwenye eneo korofi la Milima ya Kitonga Kwa sababu ya ajali na Mafuriko, Magari yatapitia Ifakara Hadi Mikumi na maisha yataendelea.

My Take
Ningekuwa Rais wa Tanzania, kipaombele changu Cha kwanza ingekuwa Barabara, ningefungua maeneo yote potential Kwa Barabara za lami kiasi ndani ya miaka 10 ningejenga zaidi ya km 15,000 za lami.

View: https://twitter.com/WizarayaUJ/status/1709865058770034915?t=UIBHZOpf0g2f8DeDslmH6A&s=19
Screenshot_20240327-170229.jpg

Barabara pendekezwa ni hizo zinazoonekana kwenye line ya Bluu Bahari.
 
Haya aliweza Magufuli tu wengine tuendelee kuomba Mungu aingilie kati.
Huyo marehemu wako hakujenga hata Km 100, barabara aliyoijenga ni ya Mwigumbi-Maswa-Bariadi. Rais aliyejenga Barbara nyingi za lami ni Kikwete. Atakayeongoza atakuwa Samia Suluhu Hassan, mwezi wa 6 serikali yake imesaini kandarasi za zaidi ya Km 2000. Acha kukariri, kupotosha na kuishi kwa hisia za uwongo. Yule shetani wenu amewapumbaza kweli hamsikii Wala hamuoni
 
Inabidi upelekwe milembe mapema sana. Stupidy
 
Mkuu kulikuwa na njia rahisi tu ya kuelekezana, watu wazima si busara kukashfiana.
 
Haya aliweza Magufuli tu wengine tuendelee kuomba Mungu aingilie kati.
Huu ni ujinga kama ujinga mwingine. Magufuli aliingia Kigoma haijaunganishwa na lami na ameondoka Kigoma haijaunganishwa na lami lakini nenda kaangalie Kazi inayofanywa sasa hivi. Infact, Magufuli ndiyo aliyoharibu road map ya ujenzi wa Barabara nchi hii kwa kuacha kuunganisha mikoa na wilaya kama ilivyopangwa kabla ya kujenga SGR. SGR pamoja na kwamba sipingi kujengwa, lakini ni premature sana kwani ilipaswa kujengwa baada ya hizo barabara za ndani kujengwa mojawapo hiyo ya Iringa-Ifakara-liwale-Lindi.
 
Huyo marehemu wako hakujenga hata Km 100, barabara aliyoijenga ni ya Mwigumbi-Maswa-Bariadi. Rais aliyejenga Barbara nyingi za lami ni Kikwete. Atakayeongoza atakuwa Samia Suluhu Hassan, mwezi wa 6 serikali yake imesaini kandarasi za zaidi ya Km 2000. Acha kukariri, kupotosha na kuishi kwa hisia za uwongo. Yule shetani wenu amewapumbaza kweli hamsikii Wala hamuoni
Kaliua-Uvinza ilimshinda. Nyakanazi- Kasulu ilimshinda, Samia anazijenga zote.
 
Somo hapo Juu linahusika.

Mikoa ya Kusini ya Lindi na Mtwara haifikiki haijaunganishwa Kwa Barabara na Mikoa mingine ya Tanzania hasa Kanda ya Kati,Magharibi ,Kanda ya Ziwa na Kaskazini Kwa sababu tuu hakuna Barabara kuu inayoiunganisha Mikoa hiyo.

Nitoe Lai Kwa Serikali kuona uwezekano wa kujenga barabara Kuanzia Iringa Mjini/Ipogoro-Kilolo-Ifakara-Mahenge-Liwale/Lindi.

Barabara hiyo ikijengwa itafungua uchumi mkubwa sana kwenye maeneo hayo Kwa sababu yote ni potential na pia itachochea Utalii wa Hifadhi ya Nyerere(Selous).

Aidha ikitokea Barabara ya Tanzam imejifunga hasa kwenye eneo korofi la Milima ya Kitonga Kwa sababu ya ajali na Mafuriko, Magari yatapitia Ifakara Hadi Mikumi na maisha yataendelea.

My Take
Ningekuwa Rais wa Tanzania, kipaombele changu Cha kwanza ingekuwa Barabara, ningefungua maeneo yote potential Kwa Barabara za lami kiasi ndani ya miaka 10 ningejenga zaidi ya km 15,000 za lami.
Good idea
 
Mkuu binafsi ni mkazi wa huko ulipopataja ninakubaliana na wewe kwa 100% yote uliyosema ingawa ninachojua kwa uchache ni kwamba mpango wa serikali ni kuijenga hiyo barabaran ya kutoka kilolo Hadi ifakara kupitia mlimba na taarifa ni kwamba ujenzi wa madaraja na ma box karavat unaendelea

Wakati huo huo serikali imetenga fedha kwaajili ya ujenzi wa barabara ya ifakara kwenda lumecha mkoani songea kupitia malinyi hii Nina uwakika nalo kuwa fedha hizo zimetengwa labda wahamishe matumizi yake..

Kuhusu barabara ya ifakara mpk Lindi kupitia mahenge hili Bado sijalisikia na hakuna bajeti yake ingawa ninaamin humu ndani tuna viongozi wanaliona hili basi ikiwapendeza tunaweza kufanya kitu hapa kwa maendeleo ya wana kilombero na taifa kwa ujumla.
 
Inabidi upelekwe milembe mapema sana. Stupidy
Ndio ukweli hakuna Cha maana alifanya kwenye Barabara akiwa Rais ndio maana Mikoa ambayo haikuunganishwa na lami Hadi anakufa ilikuwa vile vile na Sasa Samia ndio anaunganisha na kujenga Barabara Mpya.

Naamini hata hii hapa TanRoads watasikiliza na kuijenga.
 
Mkuu binafsi ni mkazi wa huko ulipopataja ninakubaliana na wewe kwa 100% yote uliyosema ingawa ninachojua kwa uchache ni kwamba mpango wa serikali ni kuijenga hiyo barabaran ya kutoka kilolo Hadi ifakara kupitia mlimba na taarifa ni kwamba ujenzi wa madaraja na ma box karavat unaendelea

Wakati huo huo serikali imetenga fedha kwaajili ya ujenzi wa barabara ya ifakara kwenda lumecha mkoani songea kupitia malinyi hii Nina uwakika nalo kuwa fedha hizo zimetengwa labda wahamishe matumizi yake..

Kuhusu barabara ya ifakara mpk Lindi kupitia mahenge hili Bado sijalisikia na hakuna bajeti yake ingawa ninaamin humu ndani tuna viongozi wanaliona hili basi ikiwapendeza tunaweza kufanya kitu hapa kwa maendeleo ya wana kilombero na taifa kwa ujumla.
Hiyo ya Iringa-Kilolo utaanza ujenzi mwaka huu ila sijasikia plan yeyote ya kuifikisha Morogoro.

Pili hii ya Ifakara-Songea tayari mkandarasi wa EPC yupo,hoja yangu ni kutoka Liwale-Mahenge Ili ije kuungana na hii ya Ifakara-Songea/Njombe.

Kiufupi section ya kutoboa Hadi Liwale ni muhimu sana kuunganishwa Mikoa ya Lindi na Mtwara na Kanda ya Ziwa via Iringa au Morogoro.

Najua kinachochelewesha ni blaa blaa za wapuuzi wanaosemaga Barabara ikipita kwenye Hifadhi itaua Wanyama.Reli ya Tazara imepita kwenye Hifadhi,wanayama wapi waliokufa Kwa sababu ya treni?
 
Kaliua-Uvinza ilimshinda. Nyakanazi- Kasulu ilimshinda, Samia anazijenga zote.
Mwendazake alikuwa busy na ma Sgr yake yasiyo na maana na Bado hakuna hata section Moja ya Sgr aliyokamilisha.

Nimependa move ya Rais Samia kuweka Nguvu kubwa kwenye Barabara kiasi kwamba Kuna takribani km 4,000 za Barabara kuu achilia mbali Tarura zinaendelea na ujenzi na nyingi zitakamilika by 2027/28.
 
Huu ni ujinga kama ujinga mwingine. Magufuli aliingia Kigoma haijaunganishwa na lami na ameondoka Kigoma haijaunganishwa na lami lakini nenda kaangalie Kazi inayofanywa sasa hivi. Infact, Magufuli ndiyo aliyoharibu road map ya ujenzi wa Barabara nchi hii kwa kuacha kuunganisha mikoa na wilaya kama ilivyopangwa kabla ya kujenga SGR. SGR pamoja na kwamba sipingi kujengwa, lakini ni premature sana kwani ilipaswa kujengwa baada ya hizo barabara za ndani kujengwa mojawapo hiyo ya Iringa-Ifakara-liwale-Lindi.
Sio tuu Kigoma Bali Barabara zifuatazo akizikuta hazina lami na kaziacha hivyo hivyo
Kigoma-Tabora
Kigoma-Kagera
Kigoma-Rukwa
Mbeya-Tabora
Mbeya-Singida
Mbeya -Njombe via Isyonje
Njombe-Morogoro
Karatu-Singida-Simiyu(Kwa mpiga sarakasi)
Tanga-Pwani-Dar via Bagamoyo na Pangani
Ruvuma-Morogoro
Tanga-Manyara-Singida
Rukwa-Katavi
Mtwara-Masasi
Geita-Mwanza via Sengerema

Hizo ni Baadhi ya Barabara kuu ambazo zilimshinda Mwendazake na zote as we speak Rais Samia kaweka wakandarasi,hapo nimetaja Kwa uchache sana .

View: https://twitter.com/mamayukokazini/status/1697492306784325658?t=UDsN7mK9oHSeuQ9f7URRCw&s=19
 
Huyo marehemu wako hakujenga hata Km 100, barabara aliyoijenga ni ya Mwigumbi-Maswa-Bariadi. Rais aliyejenga Barbara nyingi za lami ni Kikwete. Atakayeongoza atakuwa Samia Suluhu Hassan, mwezi wa 6 serikali yake imesaini kandarasi za zaidi ya Km 2000. Acha kukariri, kupotosha na kuishi kwa hisia za uwongo. Yule shetani wenu amewapumbaza kweli hamsikii Wala hamuoni
Duuu!!!! Magufuli unamwita shetani?
 
Maku
 
Back
Top Bottom