wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 26,494
- 29,283
- Thread starter
- #61
Pole sana kwa ile speed yanavyopita sio rahisi kuonekana[emoji23][emoji23]Nimeshangaa sana gari yangu iliharibika hapo katikati ya barabara siioni kwenye hii video wakati magari yaliyokuwa yananipita yanaonekana,umeedit hii video wewe?