Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,156
- 14,118
Mheshimiwa Rais nasi tukamilishie daraja letu la Busisi 🤣🤣🤣🤣
Hii itaitwa Mbowe au Mnyika flyover ili mfurahi. Maana mnajifanya kuchukia halafu foleni zikiisha mnawahi ufipa kwenu kufuata malipo. So what, dont you see what is happening there to save people time and fuel
Ndio mkuu alisema wakati akizondua mfugale flyover, alisema la ubungo ni kubwa hivyo ni limfugale.Hata hilo sio mbaya
Kwa nini nini?Kwanini
Hawa jamaa ndio wanaoongoza kwa kulaza bajaji zao ofisi za sisiemu na kupita ktk hizo flyover pia wakiweka viwiko nje wakati wako ktk bajaji.Ila umeelewa
How much is too much?Too much is harmful.