Barabara kuu za dar na matatizo ya foleni

NDINDA

Platinum Member
Apr 4, 2011
10,331
47,073
KUNA BARABARA KUU KADHAA ZINAZOINGIZA NA KUTOA WATU KATIKA MAENEO MENGI YA JIJI LA DAR IKIWEMO KATIKATI YA JIJI, MOROGORO ROAD, NYERERE ROAD, KILWA ROAD NA BAGAMOYO ROAD ALI HASSANI MWINYI ROAD ZOTE HIZI ZINAHITAJI BARABARA ZINGINE ILI ZISIDIWE NA MINYORORO(FOLENI) KWANI KILA MTU NI LAZIMA APITE PALE, JE KWA KUANGALIA TUU HIZI PICHA UNGELIKUA MEYA AU MTU YEYOTE MWENYE MAMLAKA YA USAFIRI NA UCHUKUZI KATIKA JIJI LA DAR ES SALAAM UNGAFANYA NINI? UNAWEZA KUELEZEA IDEAL PLAN YAKO YA JIJI HILI KATIKA SWALA LA MIUNDOMBINU YA BARABARA VYOVYOTE UNAVYOFIKIRIA, KARIBUNI WOTE

PICHA ZOTE KWA HISANI YA TANZAN (http://www.skyscrapercity.com/showthread.php?t=1350433&page=3)

BARABARA YA MOROGORO
10-5.jpg

barabara ya kawawa na ile ya uhuru inayotokea buguruni
]
9-7.jpg

barabara mpya yenye udongo pale jangwani kuelekea ubungo
4493676979_f15f9d7918_z.jpg

barabara ya nyerere kulia pamoja na reli ya kati
4836820680_2c56ea3034_b.jpg
 
barabara ya nyerere kulia pamoja na reli ya kati
4836820680_2c56ea3034_b.jpg
[/QUOTE]

dah mtumishi wa mipango jiji alikuwa wapi? maana mimi naona kama kuna dampo la taka.
 
barabara ya nyerere kulia pamoja na reli ya kati
4836820680_2c56ea3034_b.jpg

dah mtumishi wa mipango jiji alikuwa wapi? maana mimi naona kama kuna dampo la taka.[/QUOTE]
hapo sasa, sijui kama wanaweza kujitokeza hadharani na kusema mimi ni afisa mipango miji wa jiji la dar es salaam, teh teh, kama mimi nipo karibu yake ntampa vitasa mpaka akome
 
hapo wanatakiwa wachenje barabara kadhaa, najua tabata vingunguti inafanyiwa kazi, ila bado barabara zingine zinahitajika
 
dah mtumishi wa mipango jiji alikuwa wapi? maana mimi naona kama kuna dampo la taka.
hapo sasa, sijui kama wanaweza kujitokeza hadharani na kusema mimi ni afisa mipango miji wa jiji la dar es salaam, teh teh, kama mimi nipo karibu yake ntampa vitasa mpaka akome[/QUOTE]
Tatizo bongo mtu anashahada ya accounting au sheria ndo anakua mkuuu wa plan ya jiji sasa hapo unategemea nini? Ajali tupu na mafoleni
 
wakifika shingoni ndio utakuta wanaanza vita na wananchi, bomoa bomoa
 
hivi ni kweli mchina kachomoa kujenga uwanja wa ndege au maneno tuu ya mtaani, kuna msela kasema eti mchina kachomoa , ni kweli ? wadau wenye data
 
Hili thread limedunda vibaya mno, yaani limetembelea kichwa, hakuna jibu hata moja PAMOJA na kuwa hapa kwa muda, na kama ungekua unafanya utafiti flani ili upate conclusion basi umeuwawa, kama kawa, tulizike, labda haliendani na ladha ya wabongo wengi
 
ukiona hivyo ujue watu washakata tamaa
 
Back
Top Bottom