Barabara Dar kwenda Chalinze kuwa ya kulipia

Barabara Dar kwenda Chalinze kuwa ya kulipia

tuungane kusema no! wameshachukua kodi za roadtoll,why tulipie tena? Huduma ya miundombinu bora ni haki ya mwananchi, ccm waache wizi - no! Ccm!
 
Watanzania maendeleo yana gharama zake jamani! Kama wanajenga highway tulipie tu hakuna bure.
 
Okay toll gate ni plani nzuri kwani nchi nyingi zinafanya hivyo...eg south africa barabara ziko chini ya makampuni binafsi wanamantain roads and charge for toll gate....zimbabwe the same...na zambia nadhani itaanza mwaka kesho au mwisho wa mwaka huu.
Lakini serikali itatakiwa iweke njia mbadala and wananchi must not be forced to use this quality road..e.g kutoka jhb kwenda boda ya zimbabwe kuna toll gate kama 6 na njia ni nzuri mzee 120 from town mpaka boda..but kuna njia nyingine mbadala ambayo utalipia only 2 toll gates and the road isn't quality na hata distance ni kama 70 km more.
Serikali yetu itatakiwa istop to charge hiyo pesa ya barabara katika petrol na waandae njia mbadala during construction period to avoid traffic...sababu kabla hatujapumzika na hii ya mabasi yaendayo kasi then tunaanza nyingine tena!!
huu ni mtazamo wangu
 
Sio bara bara tu, nadhani tungeibinafsisha kwanza nchi maana imeshawashinda...
 
Hivi ndivyo inavyotakiwa barabara ya Dar - Mwanza awamu ya kwanza. Chalinze - Arusha na Tanga awamu ya pili, Morogoro Mbeya awamu ya tatu, Dar Mtwara na Lindi awamu ya nne.

Ila hili la kulipia hapana kabisa. Sasa hizo road licence tunazolipa na kupanda kila mwaka maana yake nini. Hii nchi kila kiongozi naona anatoka na single yake. Hatuna strategy kabisa
 
Nalipa takibani laki tatu kwa mwezi kodi,vati kwa kila ninacho nunua,200sh kwa kila lt ya mafuta,airtime ,maji,umeme nk vyote vinamakato na ss barax2!
 
Sio bara bara tu, nadhani tungeibinafsisha kwanza nchi maana imeshawashinda...

Mkirua unanikumbusha hata kuubinafsisha Mlima Kilimanjaro
Maana Nyerere alimshangaa Mwinyi na Ben mkapa hadi akawaambia sasa mtabinafsisha na magereza maana waliiuza NBC wa bilioni 15 tu Benki zote za Nchi nzima
sasa sijui Wachagga wataweza kweli kwenda mgombani kila Xmas na gari zao
Tanzania tumechoka na tuna viongozi wenye akili za kulala
 
Kodi inalipwa kulingana na mapato bahati mbaya zaidi nchi hii watu wa vipato vidogo na vya kati wanalipa Kodi kubwa kuliko matajiri.

nielewavyo mimi, barabara ikiwa ya kulipia basi wenye vyombo vya usafiri ndio watakaolipia... na ndio wenye uwezo wa kumiliki

maana unapindisha hoja
 
Wadau habari za jioni
Katika hili jamani Watanzania wenzangu tueleweshane hii kitu nimeshaiona hapa Maputo Mozanbique na South Africa
Serikali ya Mozambique imeipa kampuni ya wa south Africa wakajenga barabara kuanzia pale town maeneo ya Hospital geral jose Macamo mpk Resarno Garcia ambapo ndio boda ya Moz_ south .A jamaa walichofanya ni kuijenga rod na wameweka kitu ambayo kwa kireno wanaita "portagem" yani Geti ni geti la kisasa mno pale kila gari inayopita inalipa pesa mpaka jamaa watakaporudisha pesa yao na kupata faida kama walivokubaliana na serikali ya hapa baada ya hapo barabara inakua ya serikali
Kusema kweli hapa Mozambique hakuna barabara nzuri kama hii na katika mpaka sasa maintainance na usafi wa barabara wanafanya kampuni husika mpaka siku watakpoikabidhi
Na south africa ni hivo hivo kuna portagen ipo Mkomazi ndio ya kwanza unayokutana nayo ukiwa unatokea Mozambique serikali ya South Africa imefanya same thing kama Moz
Jamani tembeeni muone huo utaratibu wa kulipia barabara ni wa kawaida.
 
Back
Top Bottom